Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

Wambie waweke na package ya magongo kwenye hicho kifurushi
 
Amendeleo hayataki mtu awe muoga. Nunua pikipiki halafu. Mtu akiazima anunue mafuta. Baada ya hapo hutoona mtu akija kuazima tena.
 
hivyo ni vyuma tu ndugu, utanunua..utawanyima washkaji....utajitenga nao...kumbuka kuna maisha mengine, kuna vitu utakosa kutoka kwa wana...hata hivyo baada ya muda we mwenyewe utaichoka na care haitakuwa kama ilivyokuwa awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…