Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Wasukuma wametrend week hizi hadi basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Subiri akupige lile limbwata la kihaya Nshumata utabaki historia tu.
Wachawi sana hao, powa at your own risk usiseme hatukukwambia.
Tumetoka kumzika Massawe juzi tu Bagamoyo na mke na mama yake hawajashiriki mazishi.
Asante mkuu kwa kutupenda weusiNyie mahali yenu ni kubwa sana, ni wanaume wachache tunaoweza ku-afford.
We cheupe huko Usukumani mtu angepigwa ng'ombe 50+ [emoji16]Asante mkuu kwa kutupenda weusi
Hakuna watu wenye viburi kama hao huko usukumaniNaombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.
Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Mke wa masanja ni msukuma wa wapi? Tuanze hapoMauongo ya kiwango cha SGR
Hii nakazia, kuna mikoa imezidi sana.Hili swala la kukosa uaminifu ni karibu nchi nzima,ingawa kuna baadhi ya mikoa wamezidi,yani hata ukisema unaoa kila mtu anaguna...
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.
Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Karibu sana shemeji.Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.
Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Kuna mmoja alinivalisha libangjri mkononi liliniendesha kweli bahati nzuri niliweza kulitupa na sasa nipo huru sina habari naye tena, kwa akili zake fupi anasema na anaamini nimetekwa na mwanamke mwingine.Subiri akupige lile limbwata la kihaya Nshumata utabaki historia tu.
Wachawi sana hao, powa at your own risk usiseme hatukukwambia.
Tumetoka kumzika Massawe juzi tu Bagamoyo na mke na mama yake hawajashiriki mazishi.
Unamseti ajae kwenye 18 mummalize.Karibu sana shemeji.
Oa Wanyantuzu tumejaaliwa utu na utulivu, nguvu pia tunazo.
na wewe kama siyo myantuzu jiandae kuliwa na mnyantuzu mwenzake mkiwa kwenye ndoaNaombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.
Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
👀👀👀Unamseti ajae kwenye 18 mummalize.
Kumbe kuna muda unakuwaga na akili. Nilijuaga wewe ni mwehu.Adam ni Adam anamapungufu yake, Eva ana mapungufu yake so oa tu maana kila mtu atasema kabila hli, mtu huyu dini hii Ile wewe oa basi.