Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Wasukuma wametrend week hizi hadi basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Subiri akupige lile limbwata la kihaya Nshumata utabaki historia tu.
Wachawi sana hao, powa at your own risk usiseme hatukukwambia.
Tumetoka kumzika Massawe juzi tu Bagamoyo na mke na mama yake hawajashiriki mazishi.