Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Wanajamvi,
Nimekuwa nikitafuta kupata starehe ya kweli japo siku moja. Moyo wangu unahisi kuna raha ipo nzuri. Nimefanya sex mara kibao na wanawake wa kila namna.
Lakini sijapata real starehe, katika sex ni just friction ambayo hainipi starehe na baada ya mda uterezi unatokea na kutoa maji mazito kidogo basi. Nimejaribu kunywa pombe, kuvuta sigara ndefu na fupi laki wapi hakuna raha yoyote.
Wana JF je kuna raha ya ukweli?
Au labda nina matatizo?
Tena videmu vikijipitisha kwangu vimevaa nguo fupi huwa na shangaa kweli. Hivi kweli vinadhani vinaweza nipa starehe? Kama kuna mtu kama mimi ajitokeze tuunde society yetu.
Sijapata raha zaidi ya kusisimka mwili.