Nataka nipate watu kumi tu tuanzishe uzi wa memes

Nataka nipate watu kumi tu tuanzishe uzi wa memes

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
908
Reaction score
1,857
Wakuu nataka nipate watu kumi tu tuanzishe uzi wa memes tu tuwe tunacheka kuongeza siku
Nikipata watu kumi tu tuta anzisha uzi wa vichekesho tutakua tunatupia memes kila siku na member humu wenye stress
kama
mimi

Wanatupia pia tucheke pamoja vipi unaunga kama unaunga mkono weka pendekezo uzi uitwe jina gani?NIPO SERIUS kuna nyuz za zaman zilitikisaga humu jukwaani ila nataka new thread leo wakuu

HAYA SONI
 
Back
Top Bottom