Nataka nirudi kama enzi zangu za kutoa madini kuntu na nondo zilizoshiba

Nataka nirudi kama enzi zangu za kutoa madini kuntu na nondo zilizoshiba

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja.

Hakuna mwana JF anajitambua atabisha kuhusu uwezo wa kutoa madini humu jukwaani katika majukwaa na mada mbalimbali tena kwa kiwango kikubwa sana .

Kutokana na JF kufungiwa kitambo sana niliacha kutoa madini mara kwa mara na nikawa msomaji na mchangiaji mara Moja Moja , sasa kwa vile JF imerudi mashabiki wangu na Great thinkers wamekuu na kitu kubwa kutaka kushudia nondoz na madini nlya maana kutoka kwangu hapa JF .

Sasa nawaambia safari nakuja na ujio mpya nitashusha madini kila jukwaa na hakuna jukwaa nitakaloliasha salama , Nina nyuzi kibao zipo kabatini zenye data na uchambuzi wa hali ya juu nyingine zina miaka karibia minne sijazitoa Jf nazitafutia timing sasa ni muda ramsi wa kuziachia kama makombora ya Iran vile.

#UziTayari
 
Mkuu nasubiri hizo nyuzi kwa hamu na gamu. Nafahamu fika kabisa katika suala la kutema madini wewe ni mwamba kweli kweli!
 
Back
Top Bottom