Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

Habari wanajf

By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu
Nifah njoo unisaidie hapa kwenye hii sector yako
Mkuu samahani nimechelewa kuona hii post yako, kiukweli sio mbobezi saaana ila ni mdau.
Fuata ushauri aliokupa ephen_ kwa kuanzia.
Zingatia, sunscreen utakayochukua ianzie SPF 50+, actually hiyo ndio standard bora. Ukiona inauzwa bei rahisi chini ya 30K achana nayo, nzuri bei zinarange 50K na kuendelea, hata hiyo 30 sio mbaya.

Sunscreen ni kitu cha msingi, hutakiwi kuacha kuitumia hata utakapopona tatizo lako.
Fanya hivyo utanifahamisha matokeo tujue cha kufanya baada ya wiki mbili.
 
Asante sana mamii
 
Ajaribu derma b sunscreen ni ya all skin types, haiachi weupe usoni. Ndio naitumia, inakufanya uwe na rangi nzuri. Pia atumie vitamin c moisturiser kwa ajili ya kungarisha ngozi yake. Derma B nilinunua 60k
 
Back
Top Bottom