Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

So nimepata binti hapa ofisini kwangu niliemwajiri takribani miezi miwili kwa sasa na chemistry zetu zimefanan yani tumezoeana.

Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19 flani hivi ambae kiukweli ni binti mwenye ufanisi mkubwa wa kuuza.

Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.

Kwa tulichofanya jana itoshe kusema kwa namna moja au nyingine tayari tunajua kwamba hisia zetu za kimapenzi sio siri tena na tumeweza kufanya romance, hivyo hata suala la kuomba sex sidhani kama litakuwa gumu lakini hapa inabidi niwaombe wazoefu ushauri kabla ya kufanya maamuzi.

Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni.

Hapa inakuwaje wakuu katika kubalance mzani wa mapenzi na biashara katika angle ya binti, Je nikimla ataweza kuendelea na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa ?
KAA NAE MBALI HATA KUMTEKENYA USIJARIBU
 
Hii JF siku hizi ikoje?
 
Ajiri mwingine haraka sana na huyo mpangie kazi nyingine hata kwa rafiki

Au kama hujaoa funga nae ndoa haraka sana
Acheni kuchezea watoto wa watu
Hapo ukiendeleza mapenzi ujue na heshima itapungua sana na atakuwa kimada wako na wewe sio boss tena

Na ukirogwa kucheka cheka na wanunuzi wako imekula kwako hata kama akiwa anajua ni mbinu za kibiashara lakini bado ataanza kuwa na wivu

Ushauri wangu muachishe kazi maana kuna hatari mbele naiona na ukipuuza utakuja unalia hapa na mimi ntakuwa wa kwanza kukuchangia nauli ya kurudi kwenu [emoji1] [emoji1787]
 
Dah ushapoteza ukulitaka uharibu anzisha mahusiano hata na mdada uliye zoeana nae hapo jiandae kupoteza mtaji huo mapenzi na biashara wapi na wapi
 
Back
Top Bottom