Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

KAA NAE MBALI HATA KUMTEKENYA USIJARIBU
 
Hii JF siku hizi ikoje?
 
Ajiri mwingine haraka sana na huyo mpangie kazi nyingine hata kwa rafiki

Au kama hujaoa funga nae ndoa haraka sana
Acheni kuchezea watoto wa watu
Hapo ukiendeleza mapenzi ujue na heshima itapungua sana na atakuwa kimada wako na wewe sio boss tena

Na ukirogwa kucheka cheka na wanunuzi wako imekula kwako hata kama akiwa anajua ni mbinu za kibiashara lakini bado ataanza kuwa na wivu

Ushauri wangu muachishe kazi maana kuna hatari mbele naiona na ukipuuza utakuja unalia hapa na mimi ntakuwa wa kwanza kukuchangia nauli ya kurudi kwenu [emoji1] [emoji1787]
 
Dah ushapoteza ukulitaka uharibu anzisha mahusiano hata na mdada uliye zoeana nae hapo jiandae kupoteza mtaji huo mapenzi na biashara wapi na wapi
 
Kuna ubaya mkuu kufaidika kwenye ofisi ya kipenzi changu akifanya masihara nafilisi kwake nafungua ofisi yangu๐Ÿคช๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hakuna ubaya kikubwa ni kuyapata maendeleo hata kama ni kwa kuyahamisha kutoka kwa mwamba, si ameyataka mwenyewe ๐Ÿ˜„ na msivyo na huruma akishafilisika dharau zake sio za dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ