Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa nikaja kupata binti ambae kiukweli ana ufanisi, kipaji na uwezo wa kuuza.

Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19

Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.

Kwa tulichofanya jana itoshe kusema kwa namna moja au nyingine tayari tunajua kwamba hisia zetu za kimapenzi sio siri tena na tumeweza kufanya romance, hivyo hata suala la kuomba sex sidhani kama litakuwa gumu lakini hapa inabidi niwaombe wazoefu ushauri kabla ya kufanya maamuzi.

Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni.

Hapa inakuwaje wakuu katika kubalance mzani wa mapenzi na biashara katika angle ya binti, Je nikimla ataweza kuendelea na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa ?
Hiyo biashara byebyeeee
 
Kama utatembea naye, hakikisha unamtengenezea naye maisha ili aweze kuisimamia biashara yako vizuri.
Usipomtibu wewe, watamtibu wengine na si ajabu hela za duka lako zikawa zinaenda kuhonga nje.​
 
Ohoo nimekumbuka kitabu cha Passed like a shadow ,Adyeri and his concubine Birungi,Adyeri alichofanyiwa sio poa ndicho kitakachotokea kwako mkuu
 
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa nikaja kupata binti ambae kiukweli ana ufanisi, kipaji na uwezo wa kuuza.

Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19

Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.

Kwa tulichofanya jana itoshe kusema kwa namna moja au nyingine tayari tunajua kwamba hisia zetu za kimapenzi sio siri tena na tumeweza kufanya romance, hivyo hata suala la kuomba sex sidhani kama litakuwa gumu lakini hapa inabidi niwaombe wazoefu ushauri kabla ya kufanya maamuzi.

Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni.

Hapa inakuwaje wakuu katika kubalance mzani wa mapenzi na biashara katika angle ya binti, Je nikimla ataweza kuendelea na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa ?
Kama bado unapenda hiyo biashara fukuza huyo binti ukamlie nje, ila kama biashara huipendi kula huyo demu biashara ife
 
Kama unataka kufilisika jumla, mvue chupi na kum..... huyo dada ndani ya ofisi/biashara yako na utakuwa UMEINAJISI BIASHARA to the maximum na mikosi ya kila aina utajaiona.
Hapo wamenajisi nusu😂😂😂🤭
 
Vip akiendelea kusimamia biashara yako vyema ila ukagundua ana chepuka na wanaume/wateja utavumilia?

Kajitambulishe utoe posa ikiwezekana vuta jiko ndani..muijenge biashara na familia.
 
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa nikaja kupata binti ambae kiukweli ana ufanisi, kipaji na uwezo wa kuuza.

Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19

Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.

Kwa tulichofanya jana itoshe kusema kwa namna moja au nyingine tayari tunajua kwamba hisia zetu za kimapenzi sio siri tena na tumeweza kufanya romance, hivyo hata suala la kuomba sex sidhani kama litakuwa gumu lakini hapa inabidi niwaombe wazoefu ushauri kabla ya kufanya maamuzi.

Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni.

Hapa inakuwaje wakuu katika kubalance mzani wa mapenzi na biashara katika angle ya binti, Je nikimla ataweza kuendelea na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa ?
Daah utafunga duka sasa hv
 
Oa ili mkifunga biashara akipata boss mpya amshikeshike apige. Binti mwenyewe mzinzi tu huyo....kumgusa tu imo.
Oa uje ulie kwamba umegongewa na house boy
 
Back
Top Bottom