Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

Kama una mtu kwenye mahusiano halafu hapo unataka kupita tuuu, jichanganye bihashara ikufe. Kama hauna na una lengo nae huyo binti, we kaoe tu then muache aendelee kusimamia bihashara yako.

Hapo tokeo halitabiriki,, anaweza akasimamia hiyo bihashara vzr tu kwa kuwa anajua ni ya baby. Au lah akaifilisi kwa kuwa ni bihashara ya baby. Inategemea na upendo wake kwako na akili yake ilivyo. ,
 
Boss: Mbona pesa haziko sawa ?
Babyzu: nilichukua kidogo kwa ajili ya pedi alafu mama anaumwa
Boss: uwe unanipa taarifa kabla kuchukua
Babyzu: poa 🍯


Kesho....
Boss; Mbona umechukua tena bila taarifa?
Babyzu: usinisumbue na mimi nina mamlaka yangu, ulipokula kisusio ulidhani nitakuwa bado mfanyakazi wako, tena sijaona siku zangu baby


Try & see
 
Кумаааа шеше уметомва Казi tayari ,yaani umeharibu mno kisa na kakiburi Cha kujawa na kipato Mana unao una 28 so na huku Kaka zako hawana kipato so ukavimba ukajisahau. Subiria yaani demu wa kazi usimle. Jaribu umbadilikie pia,ukiwa unakagua kaa naye mbali usimtizame usoni Mana utalegea Ila tayari umeshakuwa samsoni na Kama hujaoa tegemea utamuoa unadhani wao hawapendi kuota penye mbolea ama rutuba Kama mti
 
Wewe kula tu bana, na wakati inatafunwa mwambie asimamie vizuri biashara kwani ni yenu wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…