Nataka nitoke na wewe leo

Kijana una maisha mafupi sana😅
 
Namba yako kaipata wapi mkuu mpka akakutext?
Namba sio siri katika ulimwengu wa sasa, mtu akikuhitaji kwa lolote utapatikana tu. Muhimu ni kuwa makini na unachokifanya hapa duniani kwa usalama wako.
Kwa ajili ya elimu tu: Pia ulimwengu ume-advance, kuna software imesajiliwa huko US; unalipia kwa mwezi, unaweza ukatafuta namba yoyote duniani, kuanzia mmiliki mpaka location aliyopo kwa sasa.​
 
Afu hii ya kutongozwa mara ya pili na mtu huyohuyo hii imekaaje mkuu?☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…