Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Nikipata salio nitamtafuta huyu 😀 😀 😀Mkuu ni mwendo wa kuwalamba warembo tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata salio nitamtafuta huyu 😀 😀 😀Mkuu ni mwendo wa kuwalamba warembo tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀😀😀 endelea kupambana na mwajuma ndala ndefu wa hapo mtaaniDuuu wazee wa kuokota mizoga iliyojifia counter
Poa endelea kuzoa mzigo ya kwenye vilabu vya gongo😀😀😀 endelea kupambana na mwajuma ndala ndefu wa hapo mtaani
Ugumu wa maisha usikufanye uwe na msongo wa mawazo mkuuPoa endelea kuzoa mzigo ya kwenye vilabu vya gongo
Sawa mzoa mizogaUgumu wa maisha usikufanye uwe na msongo wa mawazo mkuu
Haina shida mkuu, mimi siku zote nina furaha tu; sichukizwi na watu wenye low IQSawa mzoa mizoga
Kwani nani kachukia na sababu ni ipi? Pia hongera kama kwako kung'oa milupo bar ni high IQHaina shida mkuu, mimi siku zote nina furaha tu; sichukizwi na watu wenye low IQ
Acha zako tamaa mbele mauti nyuma😅
Naendelea kusoma km atakua ameijibu hiiHii chai
Namba yako huyo dada amepata wapi?
Kijana una maisha mafupi sana😅
Ukitembea na pisi kali warembo wengine watakuwa wanajitongozesha wao wenyewe.
Jumamosi iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko) tukutane katika kiwanja fulani, angalau tuweze kubadilishana mawazo.
Ilipofika saa nne usiku, ikabidi nifike eneo husika na bahati nzuri nayeye alikuwa ameshafika.
Mnavyojua tena wadada wa mjini; alikuwa amevaa mavazi ya ushawishi sana, gauni fupi sana, ukichangia na unene wake, urefu pamoja na rangi; lazima jogoo awe anasumbua sumbua kutaka kutoka nje.
Tumepiga vyombo vyetu (tungi) pale na nyama choma kidogo, huku tukiendelea kuburudika na mziki, mara napokea ujumbe kwenye simu kwa namba mpya ''njoo kaunta basi baby''. Nikamuuliza kwa ujumbe, ''wewe ni nani'', hakujibu swali zaidi ya kusisitiza niende kaunta tu.
Ikabidi ninyanyuke na kujifanya naenda 'toilet', lakini lengo ni kwenda kaunta. Ile nafika kaunta tu, nakutana na pisi kali iliyojiremba hatari, kwa bahati nzuri sura yake ilikuwa sio ngeni sana machoni mwangu.
Kutokana na ulevi, nikamwambia, ''baby nimeitikia wito wako niambie'', akaniambia, ''mume wangu, nataka nitoke na wewe leo, hapa nimechoka tuondoke wote''.
Nikahisi kuchanganikiwa, nikiangalia kule mezani, mrembo ananisubiri, na huyu mwingine anataka atoke na mimi, hapa nafanyaje.
Ikabidi nimpe jibu la kumridhisha, ''subiri nimalizane na mpenzi wangu pale tutaondoka wote''. Akaitikia kwa furaha, ''sawa, muhudumu atawalete vinywaji kwa bili yangu''.
Nimerudi pale mezani, tukawa tunaendelea na mazungumzo yetu; mara vinywaji vinakuja, mrembo wangu akamuuliza muhudumu, vimetoka wapi? Akajibiwa, ''kuna dada amependa 'vibe' letu akaamua kutupa ofa''.
Ile nimetulia, mara ujumbe ukaingia kwenye simu, ''baby twende mimi nina hamu kwa sasa''. Nikajikuta mawazo yangu yanahama, na kumuwaza yule mrembo pale kaunta namna nitakavyokwenda kumgaragaza.
Ikabidi nimwambie mchepuko wangu,''mimi sijisikii vizuri, naona kwa leo vinywaji vimenichosha, tutaendeleza kesho, nomba niende home nikapumzike kwanza.'' Akajibu, ''sawa haina shida, tumalizie hivi vinywaji tuondoke''.
Nikajitahidi ili niwe wa kwanza kumaliza; baada ya kumaliza nikamuomba mimi nitangulie, bahati nzuri akaniruhusu.
Nikajipitisha pale kaunta, na kumpa ishara yule mrembo tuondoke, naye akanipa ishara nitangulie nimsubiri kwa nje, kwa sababu tungetoka wote picha ingeharibika.
Nimefika kwa nje, kama baada ya dakika 3 hivi; mrembo huyu hapa. Ikabidi niondoke naye.
Kufika eneo la tukio, ikawa ni kazi ya kuchochea kuni tu; ila makelele yalikuwa mengi sana nikahisi labda anaigiza tu.
Mara ananiambia ''baby usiniache nataka uwe mpenzi wangu wa kudumu''. Nikamuuluiza, ''na yule uliyeniona naye nimuachie nani?''
Akanijibu, ''sisi wanawake tuko wengi na wanaume rijali wamepungua naomba tuwe wote, ata ukitupa zamu haina shida''
Nikamjibu, ''haina shida, maisha ni haya haya, kutesana kihisia haina maana najali hisia zako''. Mara akanikumbatia kwa nguvu akaja juu, kwa mhemko hatari.
Kwa ujumla nilifaidi sana, kweli alikuwa anataka atoke na mimi.
Ajajibu badoNaendelea kusoma km atakua ameijibu hii
Namba yako kaipata wapi mkuu mpka akakutext?
😀😀 vizuri utaviona kwa mbali tu; ata Ibrahimu aliishi dunianiAcha zako tamaa mbele mauti nyuma😅
Bado marefu sana, miaka 90 nitafika, sasa ninayo 70 😀 😀Kijana una maisha mafupi sana😅
NilishajibuAjajibu bado