Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

Mim

Nipo tayari kujiunga
 
Tuanze kubuni jina
 
Vipi kwani lumumba hamumuenzi jiwe?
 
Huo mseto haupo maana hata itikadi zao haziendani

Chama cha huyo mwingine kiite SUKUMA GANG
 
Jamani mkome kumlinganisha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere na Hayati Magufuli.Nyie Sukuma gang Hayati Magufuli hamfikii hata Kiduchu Mwalimu Nyerere Wala Hayati Kawawa wala Hayati Karume.Labda wewe uliyeandika upuuzi huu wa kuwalinganisha ulikuwa bado hujauumbwa.Dont write non sense in this best forum in East and Central Africa (JF.)Ujinga wenu huu uandikieni kwenye vijimitandao vya mitaani.Nawashauri moderators wa Jamii Forum wablock habari kama hizi ambazo ni Non sense.
 
Tutawapiga kipigo cha mbwa koko! Hatutaki laana kwenye nchi yetu.

Kumtambua jiwe kama baba wa Taifa ni sawa na kuyatambua mavi kama chakula
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Gwajimaa
Nireteeni Gwajimaaaaa
Nireteeni Gwajimaaaaaaaaaa
Nireteeni Gwajimaaaaaaàaaaaaaaaaaaa.

Nchi hii ilikuwa kwenye mikono hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…