Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

Wanajamvi naomba ushauri, nimeandaa kitabu kidogo cha ujasiriamali lakini sina pesa ya kukichapisha na kukisambaza.
Cura te Ipsum ; Physician Heal Thyself

Unless kwa kutoa kwako hili Tangazo ndio mbinu yako ya usambazaji unaweza ukawa una-dilute kilichomo hence kukosa wateja (yaani unauza maji wakati wewe una kiu)

Anyway kwenye age ya digital media na self publishing angalia usijekuta unamtajirisha mchapishaji kwa kumpa pesa na wewe kutokuuza hata copy moja.... (In short unaweza kuweka kitabu chako sokoni bila kutumia hard cash bali pesa ya bundle tu)
 
Wazo zuri nitalitumia
 
Kwanini usisome na kufanya huo ujasiriamali uliouandika upate pesa za kuchapisha na kusambaza?. Convince wateja wako kwanza kama maarifa yaliyo ndani ya kitabu ni halisi au porojo tupu.
Nayafanyia kazi ndugu tatzo ni kuwa kuna changamoto nyingine ya kimaisha inayohitaj pesa ya haraka wakati nafanyia kazi yaliyomo
 
M
Me nafkiri ungeanza kukisoma kwanza, utapata idea za kujikwamua hapo ulipo
Miongoni mwa njia za kujikwamua ni hii pia ya kukiuza na inatupa funzo kuwa unaweza kuandaa kazi na huna pesa ukaiuza ikawa ndio kujikwamua kwako huko
 
Tafuta pesa kwanza ukishafanikiwa kuzipata za kutosha, tufundishe namna ulivyozipata kupitia kitabu
 
Mauzo mema!!! Kiongozi

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Tafuta pesa kwanza ukishafanikiwa kuzipata za kutosha, tufundishe namna ulivyozipata kupitia kitabu
Miongoni mwa njia za kutafuta hizo pesa ni kukiuza kitabu hata kama hazotokuwa pesa nyingi sana
 
Back
Top Bottom