Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cura te Ipsum ; Physician Heal ThyselfWanajamvi naomba ushauri, nimeandaa kitabu kidogo cha ujasiriamali lakini sina pesa ya kukichapisha na kukisambaza.
Asante nayatumia lkn nina changamoto nyingine inayonilazimu nipate pesa niweze kuitatua kwa harakaTumia hayo maarifa
Sorry
Wazo zuri nitalitumiaCura te Ipsum ; Physician Heal Thyself
Unless kwa kutoa kwako hili Tangazo ndio mbinu yako ya usambazaji unaweza ukawa una-dilute kilichomo hence kukosa wateja (yaani unauza maji wakati wewe una kiu)
Anyway kwenye age ya digital media na self publishing angalia usijekuta unamtajirisha mchapishaji kwa kumpa pesa na wewe kutokuuza hata copy moja.... (In short unaweza kuweka kitabu chako sokoni bila kutumia hard cash bali pesa ya bundle tu)
Nayafanyia kazi ndugu tatzo ni kuwa kuna changamoto nyingine ya kimaisha inayohitaj pesa ya haraka wakati nafanyia kazi yaliyomoKwanini usisome na kufanya huo ujasiriamali uliouandika upate pesa za kuchapisha na kusambaza?. Convince wateja wako kwanza kama maarifa yaliyo ndani ya kitabu ni halisi au porojo tupu.
Asante tatizo ni changamoto iliyojitokeza vinginevyo nisingetaka kufanya hivyoMe nafkiri ungeanza kukisoma kwanza, utapata idea za kujikwamua hapo ulipo
Wazo zurichukua mkopo
Miongoni mwa njia za kujikwamua ni hii pia ya kukiuza na inatupa funzo kuwa unaweza kuandaa kazi na huna pesa ukaiuza ikawa ndio kujikwamua kwako hukoMe nafkiri ungeanza kukisoma kwanza, utapata idea za kujikwamua hapo ulipo
Miongoni mwa njia za kutafuta hizo pesa ni kukiuza kitabu hata kama hazotokuwa pesa nyingi sanaTafuta pesa kwanza ukishafanikiwa kuzipata za kutosha, tufundishe namna ulivyozipata kupitia kitabu
AsanteMauzo mema!!! Kiongozi
KAZI ni kipimo cha UTU