Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

Kakojoe Ukuta wa Ikulu..
 
Kuna msemo mmoja wa kiarabu unasema "KHAALIF TU`URAFU wakimaanisha " NENDA KINYUME NA UTARATIBU ILI UFAHAMIKE " So na wewe ukitaka kuwa maarufu fanya kitu ambacho Wana JF wote watashtuka!!
 
Release sex tape yako kama Chyna. Kama ni ke hakikisha unajua kutuma salamu sio uwe mzembe kama China kama ni me uwe active kidogo sio ulale kama maiti. Hakika utakua maarufu
 
Jiteke, Kisha jile tiGO, Tafuta mtu atangaziwe uharibifu wa marinda yako ulofanyiwa.

Hiyo ikifeli basi post ua jeusi
 
Release sex tape yako kama Chyna. Kama ni ke hakikisha unajua kutuma salamu sio uwe mzembe kama China kama ni me uwe active kidogo sio ulale kama maiti. Hakika utakua maarufu
Kutuma salamu=kunyonya dushe,
Au sijakuelewa mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…