Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

Andika hoja zenye mashiko kwa hapa jf. Nje ya hapa jf tembea bila nguo
 
😀😀😀 Watu wanatafuta hela wewe unatafuta kiki JF. tukana kila aliecomment kwenye uzi wako lazima utaupata.
 
tembea mtupu barabarani huku umeshika bango mkononi lililoandikwa 'ni mimi NITAKUFA LINI wa JF'
 
UKITAKA UMAARUFU NENDA KANYE SOKONI TU.. NA UJIBANDIKE LEBO YA ID YAKO MGONGONI.
 
Nenda JamiiForums.com...ktk jukwaa la Hekaya...uwe Una copy story then uje Ku paste huku
Ila badili ID...weka jina fupi halafu rahisi....

by the way wewe ni mwanafunzi?



Meffi ya Kuku
 
Back
Top Bottom