bibie wasikuzingue, maamuzi ya mtu yatokayo moyoni kisha kinywani, ni ya ukweli dhahiri !! endapo tu wewe kweli ni mwanamke. na hitaji lako ni halisi. kila la kheri.....!!Mi sijasema ni mdhaifu, nimesema nataka kuolewa mke wa pili!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] pole best!Tatizo sijakidhi vigezo na masharti besti,
mtu anaanzaje kufikiria kuwa mke wa pili kama amepata wake mwenyewe? ukiona hivyo ujue kakosa wake mwenyewe na anatamani apate hata wa mtu hiyo inaitwa tutabanana hapahapa.Umri unahusianaje na mtu kuwa mke wa pili? Unamaanisha mtu kuwa mke wa pili ni kukosa kabisa mume wa peke yake?
Walikuambia wanahitaji kuolewa?Wewe una shida zako tu, hata hao wajane pia wanahitaji kuolewa.
Njoo kwangu vigezo na masharti na mudu. Mke ninaye na pia degree moja ninayeHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Kila la kheriHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Mbinguni sio dunianiKwa nini mke wa pili, umri wako bado unaruhusu kumiliki cha kwako mwenyewe
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Wakristo mnaruhusiwa ndoa zaidi ya mke mmoja?Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Umejitahidi Kunivutia ila Ngoja nifikirie kwanza mrembo maana huyu wife anaweza nipiga mwiko wa uso bure!Mfalme selemani alikuwa na wake wa ngapi? Lamech alikuwa na wake wa ngapi? Ibrahim alikuwa na wake wa ngapi, daudi alikuwa na wake wangapi?
Na hao wote walikuwa wakiongea na Mungu USO kwa USO! Je Mimi na wewe? Ambao hata kujiombea tu hadi twende kwa mchungaji!
Mungu amesema mbinguni hakuna mke wala hakuna kuoa wala kuolewa!!!!!
Sema ni wapi kwenye biblia wamesema mwanaume aoe mke mke mmoja!
Au hujui kuwa wanawake tuko wengi kuliko wanaume?
Bora uolewe kuliko kuendelea kuzini zini na kila suluali! Maana wanaume wako wachache,je tukisema kila MTU aoe mmoja itakuwaje??????
Usitumie macho ya nyama, fikiria zaidi, tazama mbali dear, utagundua kuwa niko sahihi!