Nataka niwe mke wa pili

Nataka niwe mke wa pili

Mi sijasema ni mdhaifu, nimesema nataka kuolewa mke wa pili!
bibie wasikuzingue, maamuzi ya mtu yatokayo moyoni kisha kinywani, ni ya ukweli dhahiri !! endapo tu wewe kweli ni mwanamke. na hitaji lako ni halisi. kila la kheri.....!!
 
Umri unahusianaje na mtu kuwa mke wa pili? Unamaanisha mtu kuwa mke wa pili ni kukosa kabisa mume wa peke yake?
mtu anaanzaje kufikiria kuwa mke wa pili kama amepata wake mwenyewe? ukiona hivyo ujue kakosa wake mwenyewe na anatamani apate hata wa mtu hiyo inaitwa tutabanana hapahapa.
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Njoo kwangu vigezo na masharti na mudu. Mke ninaye na pia degree moja ninaye
 
Hongera sana kwa uamuzi wako,wengi hudanganya lakini wanazalishwa na Waume za watu.Bora wewe umeweka wazi kabisa unataka kuwa mke wa pili.Ningekuwa bado sijaongeza wa pili ningekutafuta kwa hali na mali.
 
Me vigezo vyote nimetimiza and my wife wangu ameridhia...tuonane pm...
 
Njoo PM, umri bado unakuruhusu unimiliki pekee.
Njoo tuyaanze ya kwetu.
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Kila la kheri
 
Duh mkristo ndoa ya ukewenza hii mbona ni maajabu ya dunia yanazidi kuongezeka
ok sawa wacha tusubiri maana hata ndoa ya jinsia moja imeanza ktk baadhi ya makanisa kutambulika
 
Umemaliza kulipa mkopo lkn? je vyeti vyako sio feki? nitakutafuta km utanijibu hayo maswali kwa usahihi.
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Wakristo mnaruhusiwa ndoa zaidi ya mke mmoja?

Si useme unataka kuwa mchepuko tu.
 
Mfalme selemani alikuwa na wake wa ngapi? Lamech alikuwa na wake wa ngapi? Ibrahim alikuwa na wake wa ngapi, daudi alikuwa na wake wangapi?

Na hao wote walikuwa wakiongea na Mungu USO kwa USO! Je Mimi na wewe? Ambao hata kujiombea tu hadi twende kwa mchungaji!

Mungu amesema mbinguni hakuna mke wala hakuna kuoa wala kuolewa!!!!!

Sema ni wapi kwenye biblia wamesema mwanaume aoe mke mke mmoja!
Au hujui kuwa wanawake tuko wengi kuliko wanaume?

Bora uolewe kuliko kuendelea kuzini zini na kila suluali! Maana wanaume wako wachache,je tukisema kila MTU aoe mmoja itakuwaje??????

Usitumie macho ya nyama, fikiria zaidi, tazama mbali dear, utagundua kuwa niko sahihi!
Umejitahidi Kunivutia ila Ngoja nifikirie kwanza mrembo maana huyu wife anaweza nipiga mwiko wa uso bure!
 
Back
Top Bottom