Mfalme selemani alikuwa na wake wa ngapi? Lamech alikuwa na wake wa ngapi? Ibrahim alikuwa na wake wa ngapi, daudi alikuwa na wake wangapi?
Na hao wote walikuwa wakiongea na Mungu USO kwa USO! Je Mimi na wewe? Ambao hata kujiombea tu hadi twende kwa mchungaji!
Mungu amesema mbinguni hakuna mke wala hakuna kuoa wala kuolewa!!!!!
Sema ni wapi kwenye biblia wamesema mwanaume aoe mke mke mmoja!
Au hujui kuwa wanawake tuko wengi kuliko wanaume?
Bora uolewe kuliko kuendelea kuzini zini na kila suluali! Maana wanaume wako wachache,je tukisema kila MTU aoe mmoja itakuwaje??????
Usitumie macho ya nyama, fikiria zaidi, tazama mbali dear, utagundua kuwa niko sahihi!