Nataka niwe mke wa pili

Nataka niwe mke wa pili

Are u serious? Fafanua kidogo. Kipato chake na chake, utaishije naye, kama kimada halali au ???
 
Sababu zipi hasa za kutaka uolewe na aliyekuwa ndani ya ndoa?
Nahisi tu.huenda hana kizazi au hana nguvu za kike wakiwa wa wili atakua na msaada ngoja aje.
Wa hivi hawapo kwa sasa atakua anatania tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Mi nipo tayari niPM
 
Niliwahi kusoma article moja mtandaoni kutoka Essence, mdada mmoja aliandika sheria ya mume mmoja mke mmoja kwa watu weusi Marekani iondolewe.

Sababu za kutaka sheria hiyo iondolewe ni kuruhusu wanaume weusi wenye uwezo wa kuoa waoe hata wake wanne au zaidi kama wana uwezo wakufanya hivyo ili kukabiliana na uhaba mkubwa wa wanaume weusi wenye hadhi ya kuoa. Alidai wanaume wengi weusi ama wako jela au hawana hadhi ya kuitwa mume (wa hovyo hovyo). Na kwa kuwa wengi wangependa waolewe na weusi wenzao basi hii sheria iondolewe.

Kilichonishangaza ni wanawake wengi kumuunga mkono mtoa hoja pia kulikuwa na wanaume waliounga mkono.

Naona si muda mrefu tutaanza kuona matangazo kama haya, "Natafuta mume hata kama yuko kwenye ndoa hakuna tatizo ali mradi tu ana asilimia kubwa ya vigezo husika."

Mpaka hapo hujashtuka tuu...

Asilimia kubwa ya Wanaume walio kwenye ndoa wako na hatua fulani ya maendeleo...
 
Tafuta wako Dada, acha kuvamia ndoa za watu. Ukristo unasema ndoa na iheshimiwe na watu wote pamoja na wewe.
 
Kwa nini mke wa pili, umri wako bado unaruhusu kumiliki cha kwako mwenyewe
mkuu acha kumlisha matango pori, ukweli wanawake wametu-out number pakubwa sana kwahiyo posibility ya ndoa ya 1:1 is practically falling to ZERO. That's why utakuta mwanaume ana mke mmoja na ila michepuko anajaza darasa.
 
Kiukweli maamuzi yako utachukiwa na wanawake wenzio

Hafu niwaibie siri, huku mtaani ukishakua na digrii tuu huna sifa ya kuwa mke, labda mke wa haki za akina mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa sababu wenye wake tayari mpaka aongeze mke wa pili anakuwa yupo vizuri kiuchumi????
 
Back
Top Bottom