Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Mkuu kwani dini yako inaruhusu?Umri unahusianaje na mtu kuwa mke wa pili? Unamaanisha mtu kuwa mke wa pili ni kukosa kabisa mume wa peke yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani dini yako inaruhusu?Umri unahusianaje na mtu kuwa mke wa pili? Unamaanisha mtu kuwa mke wa pili ni kukosa kabisa mume wa peke yake?
Nahisi tu.huenda hana kizazi au hana nguvu za kike wakiwa wa wili atakua na msaada ngoja aje.Sababu zipi hasa za kutaka uolewe na aliyekuwa ndani ya ndoa?
Huyu ni mwana mapinduzi.Kwa nini mke wa pili, umri wako bado unaruhusu kumiliki cha kwako mwenyewe
Mi nipo tayari niPMHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
MASHAALAAH TUFUNGE NDOA KABLA YA ADHUHURI KESHO MAMAMatala halali ni kwa waislam tu
Mpaka hapo hujashtuka tuu...Hongera zako na kila la heri. Kama hutajali swali langu kwanini unataka uolewe na aliyekuwa ndani ya ndoa? Akitokea ambaye hayumo ndani ya ndoa utamkataa?
Mpaka hapo hujashtuka tuu...
Asilimia kubwa ya Wanaume walio kwenye ndoa wako na hatua fulani ya maendeleo...
Kwahiyo kasoma vizuri nyakatiii!!!! Mwanamke w bongo sio mtuu et,kaona mbali xana huyu,anahitaji pongezMpaka hapo hujashtuka tuu...
Asilimia kubwa ya Wanaume walio kwenye ndoa wako na hatua fulani ya maendeleo...
Loveness angependa wazoefuSababu zipi hasa za kutaka uolewe na aliyekuwa ndani ya ndoa?
mkuu acha kumlisha matango pori, ukweli wanawake wametu-out number pakubwa sana kwahiyo posibility ya ndoa ya 1:1 is practically falling to ZERO. That's why utakuta mwanaume ana mke mmoja na ila michepuko anajaza darasa.Kwa nini mke wa pili, umri wako bado unaruhusu kumiliki cha kwako mwenyewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hawa ndo wanawake tunaowataka..Mungu bariki na wanawake wengine woote wa Tanzania wawe kama huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiukweli maamuzi yako utachukiwa na wanawake wenzio
Hafu niwaibie siri, huku mtaani ukishakua na digrii tuu huna sifa ya kuwa mke, labda mke wa haki za akina mama