Nataka niwe mke wa pili

Nataka niwe mke wa pili

Mlio wengi humu mnamichepuko na bado mmeoa sasa kuliko kuja kuumizwa huyu binti kaamua awe wa pili kabisa huyu ni uamuzi sahihi. Hongera binti.
 
Vigezo hajavitoa kuwa anataka kuwa mke wa pili dini utabadili au mm nipo tayari Bali mm ni muislamu
 
Mkristo wa wapi wewe! Hivi siku hizi tumeruhusiwa hili? Haya hongera dada...
 
Minime like tu.....[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.

Mm nipo tayari
Tukutane lini na wapi hapa Dar?
 
Mwaego Bora wewe umeamua hvyo kwan ni dhambi kama ni muislam din ina ruhusu olewa mwaya tena kizuri ule na nduguyo au mwenzio...
Hata ukichukiwa na wanawake kwan wew ndo wa kwanza tena bora wew umeeka hadharan kulko ukiwa unaiba!
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Hawa ndo magreat thinker wa jf siku hizi. Wanaanzisha nyuzi ili tu wapate wachangiaji na likes.

Nako huku tunatafuta umaarufu na kiki kama wasaniiiiiiii!!!!!!
 
Jaman sababu ni nyingi mtu ajapata kazi anaona muda unaenda miaka inayoyoma na aliyekuwa anamtegemea kuwa mume naye ajapata kazi dira hazizomi lazima ajitose tu kuwa mke wa pili kwani hakuna jinsi
 
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Huyu kawa mkweli
 
Hauna kizazi ama??
 
Back
Top Bottom