CHOKAMBOVU
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 836
- 563
Mlio wengi humu mnamichepuko na bado mmeoa sasa kuliko kuja kuumizwa huyu binti kaamua awe wa pili kabisa huyu ni uamuzi sahihi. Hongera binti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atakuwa ni aidha Binti wa kiislam anapima mawazo ya watuKwa nini mke wa pili, umri wako bado unaruhusu kumiliki cha kwako mwenyewe
Tatizo mkeo atamtaka kiukweli kweli kabisa?Hawa ndo wanawake tunaowataka..Mungu bariki na wanawake wengine woote wa Tanzania wawe kama huyu
Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
[emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiukweli maamuzi yako utachukiwa na wanawake wenzio
Hafu niwaibie siri, huku mtaani ukishakua na digrii tuu huna sifa ya kuwa mke, labda mke wa haki za akina mama
Ukrsto ndo unaruhusu wanaume mzae nje et eh?Mkristo wa wapi wewe! Hivi siku hizi tumeruhusiwa hili? Haya hongera dada...
Hawa ndo magreat thinker wa jf siku hizi. Wanaanzisha nyuzi ili tu wapate wachangiaji na likes.Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Huyu kawa mkweliHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Hauna kizazi ama??Habari wakuu!