Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

Kuna staff mwenzetu nafanya nae kazi yaan huyu ni shameless

Jaman daah yaan uwiiii huyu n mbwa nyie.Yaan type za kina Gig money au Shilole.
No si kwa ubaya lakini najaribu kuonesha tabia yake.

Mwanzo nilikua naona kama hazimo vile si unajua muungwana lazima uwe na aibu si kwa huyu staff !

Bahati nzuri au mbaya nikaja baadae kua supervisor wake.Nilimchukia sana kutokana na tabia yake na uwezo wake mdogo kufanya mambo technical.

Kifupi si mtu smart sana lakini ni shameless elewa neno SHAMLESS.

***********************************

LEo hii Nimeacha kazi pale kama miaka mitatu lakini Sina namba za wote tumepotezana nao lakin guess what Ni namba yake huyu mtu SHAMELESS.

Baadae nilivutiwa sana na hii hulka yake ningekua nayo hii ningekua mbali sana.

Nataka nijue NAWEZAJE KUA SHAMELESS
Mimi huwa naishi maisha yangu, naongea chochote wakati wowote yani ni ile aina ya watu kama wakina Donald Trump kwahiyo kama unaona aibu pole sana mkuu.
 
Na shame si ni aibu??
Sasa mtoto wa kiume unakuaje na aibu? Aibu inatoka wapi sasa.

Kuna vitu huwezi kuvifanya maana ni vya hovyo na sio kua unaona aibu.

Hao unaowaongelea ni wale wana mijiconfidence iliyozidi kipimo.
 
Confidence ndo kinyume cha aibu!
Kwaiyo haimaanishi nina aibu hizo wewe unazofikiria ww hapana
 
Kuna staff mwenzetu nafanya nae kazi yaan huyu ni shameless

Jaman daah yaan uwiiii huyu n mbwa nyie.Yaan type za kina Gig money au Shilole.
No si kwa ubaya lakini najaribu kuonesha tabia yake.

Mwanzo nilikua naona kama hazimo vile si unajua muungwana lazima uwe na aibu si kwa huyu staff !

Bahati nzuri au mbaya nikaja baadae kua supervisor wake.Nilimchukia sana kutokana na tabia yake na uwezo wake mdogo kufanya mambo technical.

Kifupi si mtu smart sana lakini ni shameless elewa neno SHAMLESS.

JINSI NILIVOANZA KUVUTIWA NA HII TABIA.
Kazi yangu hiyo niliyokua nafanya ilitemea watu na ushawishi wa watu na kuweza kujuana na watu tofauti tofauti kwa wakati mfupi na kuanzisha nao mahusiano ya kazi kisha waweze kutaka huduma ambazo tunazitoa.

Kifupi ilikua inahitaji Akili lakini pia ilihitaji hulka au kariba ya kuweza kuwaface watu ,kuongea nao na kuwashawishi kifupi si kazi rahisi kwa mtu mwenye aibu au asiyeweza kuzoeana na mtu fasta na mchangamfu.

Hivo kati ya watu 10 niliokua nikiwasimamia ikaja kuonekana huyu shameless (Jina kapuni ) ndiye mwenye perfomance nzuri kuliko wote pamoja na mazingira magumu na sababu lukuki wenzie walizokua wanatoa ila yeye matokeo yalikua mazuri.

Hivo mambo yakageuka nikajikuta namtegemea kwene kuninyooshea mambo na kunisafishia cv yangu ya kazi. Kwa ambao washafanya kazi za makampuni utaelewa kwamba kazi zinategemeana Wajuu anamtegemea wa chini hivo kama wachini wanakuangusha naww hamna lolote utalokua unaonekana unafanya.

LAKINI KWANINI KUA SHAMELESS NI MUHIMU??

Katika kujifunza funza nikaja kukutana na hiki kitu
Cheki hapa chini

View attachment 2926022
Kuna kitu inaitwa Vibration Energy hii Tunaishi nayo kila kitu kinatoka ndani.
Katika Energy chanya ndio kuna Amani,Kukubaliana na hali, Upendo nk

Na Energy Hasi ndo kuna Aibu,Kujihukumu,Woga,Majonzi na hasira.

Kama unajua kashule kidogo waweza fatisha uo mchoro.

Hivo bas kua na aibu ,hasira,Hamu,Kujivuna kujisikia si Hali ambayo binadamu ameumbiwa ni hali ambayo huleta uharibifu na kuzuia mafanikio ya mtu nikiongelea mafanikio simaanishi pesa au vitu vya kushikkiaka.

Baada ya hapo ndipo nilipoona Kua asiye na aibu si mwehu ila yuko level nyingine ya maisha tena level ya juu. Hapa hatumaanishi kujitoa akili kufanya maovu no.
Ni kufikiria mambo mangap umeyakosa au umefeli kutokana na kuhofia watu wanachowaza au watakuonaje au kuwaonea aibu.
Vitu vingap umevikosa kutokana na hasira kujiona na kujisikia?? Jibu unalo mwenyewe
***********************************

LEo hii Nimeacha kazi pale kama miaka mitatu lakini Sina namba za wote tumepotezana nao lakin guess what Ni namba yake huyu mtu SHAMELESS.

Baadae nilivutiwa sana na hii hulka yake ningekua nayo hii ningekua mbali sana.

Nataka nijue NAWEZAJE KUA SHAMELESS
Jichanganye na kina Mwijaku, Baba Levo, Dotto magari na Juma lokole. Utakuwa tu shameless.
 
Back
Top Bottom