Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

hakuna mtu ni shameless kila mtu kuna kitu kinamfanya aone aibu kukifanya hata uyo unaesema ni shameless kuna vitu hafanyi sababu ya aibu issue ni moja tu hapa vaa ujasiri , ukishakwa confident hakuna kitu kitakuyumbisha ukiona unaona sana aibu kila wakati tafsiri ya haraka ur not confident bro . kabla hujawaza kuwa shameless jiulize unajiamini?
 
Back
Top Bottom