Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

Mimi huwa naishi maisha yangu, naongea chochote wakati wowote yani ni ile aina ya watu kama wakina Donald Trump kwahiyo kama unaona aibu pole sana mkuu.
 
Na shame si ni aibu??
Sasa mtoto wa kiume unakuaje na aibu? Aibu inatoka wapi sasa.

Kuna vitu huwezi kuvifanya maana ni vya hovyo na sio kua unaona aibu.

Hao unaowaongelea ni wale wana mijiconfidence iliyozidi kipimo.
 
Confidence ndo kinyume cha aibu!
Kwaiyo haimaanishi nina aibu hizo wewe unazofikiria ww hapana
 
Jichanganye na kina Mwijaku, Baba Levo, Dotto magari na Juma lokole. Utakuwa tu shameless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…