Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

Confidence ndo kinyume cha aibu!
Kwaiyo haimaanishi nina aibu hizo wewe unazofikiria ww hapana
Hapana mkuu ujue kuna aibu na kutojiamini ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mfano wewe unatakiwa kupresent kitu fulani ambacho hukijui kiundani na ukawa unaendwa kwa kutetemeka, unaongea kwa kigugumizi nk (ipo sana kwenye presentation chuoni), hapo unakua hujiamini ila sio kua una aibu.

Upo ukweni, huwezi toka na boxer mbele ya mama mkwe litakua ni jambo la aibu.

Hata uwe na confidence namna gani kuna mambo huwezi kufanya kwasababu ya aibu, lakini mengi utafanya kwasababu unajiamini.
 
Sasa kuna ambao hawana aibu ! ili mradi tu anachokiamini ndicho hicho
 
Ushaona Shilole anaongea English na anajua hawez na haoni aibu anaongea ivo ivo
 
Ushaona Shilole anaongea English na anajua hawez na haoni aibu anaongea ivo ivo
Yeye ana confidence mkuu na sio kua shilole hana aibu!! Kuna vitu nae hawezi kufanya coz anaona haya/aibu.

Kwake hilo la kuongea kingereza ni la kawaida.
Mfano mimi, sio kua nna aibu, simuonei aibu yeyote ila mara nyingi kijiweni nakua sina taarifa nyingi za kuchangia mada hivyo nakaa kimya au nachangia kidogo, hiyo haimaanishi nna aibu.
 
Unataka kuwa shameless au confident person? Maana ukisema uwe shameless nayo ni tatizo sawa na mtu Asie na haya.
 


Usitake kuwa kama mtu mwingine maana tunatagemeana, umemwona anafaa maana hana ulicho nacho na wewe huna alichonacho, kila mtu awe kama alivyojaliwa.
 
Had nimeishiwa point lakini mkuu…

Ngoja kwanza kwan kutaka kua kama mtu ni vibaya??
Hamornize alitaka awe kama diamond na sasa amemzidi kabisa boss
Nandy alitaka awe kama ruby saizi kamfunika kabisa
China ilitaka kua kama US saizi iko no2 ni suala la muda

Mi nadhani hakuna ubaya kutaka kuwa kama mtu fulani
Usitake kuwa kama mtu mwingine maana tunatagemeana, umemwona anafaa maana hana ulicho nacho na wewe huna alichonacho, kila mtu awe kama alivyojaliwa.
e
 


Tafuta maana ya maneno haya utanielewa:

1. Personality.
2. Talent
3. Learning...
 
Unachoongelea sio kujiamini? Sielewi unaposema shameless unamaanisha anafanya mambo ya kijinga na hajali au bi kujiamini na kukutana au kuongea na yeyote akifanya biashara au kazi yake.
 
Shameless kwa mujibu wa uzi wako si ndo chawa ee kama mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…