Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

Angeweza kushinda, ila utoaji holela wa mabandiko na habari za lishe zisizofanyiwa utafiti utamponza.
 
Acha kujifurahisha, MATAGA na Chawa wa mama(uvccm) hawajawahi shindwa kitu. Anza dozi ya maumivu
 
Atashindwa kwa sababu kasema mambo ya uongo kama alivyo zodolewa na mtaalam mwingine kwenye clip humu JF kuhusu mambo ya sukari kwenye matunda. Uongho Mtupu na kaambiwa arudi darasani...
 
KASHINDA kwa Kishindo 100%
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ila watz nyie
 
VOTING RESULTS:
1. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Prof Yakub Janabi: 32
2. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Dr Nโ€™da Konan Yao: 5
3. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Mohamed Drame: 4
4. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ Prof Moustafa Mijiyawa: 4
 
Nitashangaa sana WHO wakimpa huyu mjanja mjanja...hana ujuzi huo!
Mtu anayefoji hadi CV....eti Cardiologist...hahaha..kasomea wapi?...
VOTING RESULTS:
1. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Prof Yakub Janabi: 32
2. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Dr Nโ€™da Konan Yao: 5
3. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Mohamed Drame: 4
4. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ Prof Moustafa Mijiyawa: 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ