Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

Mi naona ashinde ili awe na majukumu mengine atuachie hosptal zetu apangiwe mtu mwingine kuzisimamia maana huyu jamaa ni gundu sqna huduma mbovu sana za hosptal
 
Wavimba macho hata waombe nini wanachoomba hakifiki hata darini..Wamekalia majungu na roho za kwanini.Hakuna kitu kibaya kama umaskini kinakufanya uwe na roho mbaya na kupiga majungu.
 
Njia ya wanafiki huwa ni fupi sana tu na hili mkatae kashinda sasa mbasemaje?

Watanzania ndiyo Waafrika wapumbavu kuliko wote kwani hutanguliza chuki za kisiasa ktk kila jambo hata lililo sahihi,mmeumbuka sasa!!
 
Hongera kwa ujinga uliotukuka !!Haya ameshinda tafuta sumu ujiue mwenzio anakwenda kula mema ya nchi
 
Dua la kuku halimpati mwewe! Baadhi ya watanzania tumerogwa na kufungwa ufahamu na aliyeturoga na mha ga aliyetumika kufanya uharinugu huu ni vifopfu.
Nikianza na chuki zisizo na mashiko juu ya Rais wetu ndiio upofu unapoanzia.Kiuhalisia ukichunguza Nini hasa tatizo utaona ni MIHEMKO na hakuna jingine
Rais Samia sio malaika.Ni binadamu na ana madhaifu yake.Huyu Mama anajitahidi sana kuwa muwazi na kwenye uendeshaji wake wa serikali Kuna elements za uhuru kwa raia wake.Shida kubwa ipo kwenye kikundi Fulani chenye silka ya UKE WENZA.Kuangalia madhaifu na kuyaweka kwenye mlingoti wa bendera.Mazuri kuyaweka stoo.
Tumebakia ku-fliw na upepo wa kulaumu,kukashifu na kubeza.Mwisho wa siku tunapoteza muda kwenye kung'ang'ania mabovu mengine ya kutunga na matokeo yake ni kuishia patupu.Kabla ya kuropoka tuchunguze je,tuhuma zinazoelekezwa kwa Rais zina ukweki au ni kampeni chafu za walafi wa madaraka? Tafakari kabla ya kuongea ili pasitokee matokeo usiotarajia.
 
Umemuona Mungu? Chuki zilizojengwa juu ya uongo,unafiki dhidi ya binadamu wenzio hazikufikishi popote.Jifunze kuishi duniani kuwapenda binadamu wenzio ndivyo Mungu atakuzidishia baraka na mafanikio duniani.Unajaza hasira na sumu moyoni,utajiumiza bure,jk na huyo janabi huwawezi na wala huwafikii kwa chochote,pambana kutafuta maisha utunze familia yako
 
Nguvu nyingi imetumika kupata nafasi hii, lengo kuu ni nini? Kupata jukwaa la kimataifa kuitangaza Nchi, hivyo tu! Yaani juhudi zetu siku zote tuonekane tu mbele kwa mambo yakisiasa siasa, tuache haya mambo ya kujionyesha. Tushughulike na mambo ya msingi elimu, uchumi, ufisadi kutomeza, afya, maliasili kutumika vyema, sio sherehe kila siku!
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Wivu 😁😁😁 kashinda straight tena Kwa kura za kishindo wa round Moja tuu sio kama waliotangulia
 
Pia hawezi kushinda
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa. WaTZ mpunguze chuki hakuna aliyekamilika.
 
Reactions: Tui
Hongera
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…