Nataka uraia wa Kenya, natakiwa nifate njia zipi?

Nataka uraia wa Kenya, natakiwa nifate njia zipi?

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Hivi nikitaka kubadilisha uraia nichukue uraia wa Kenya natakiwa nifate njia zipi? Najua humu kuna wajuzi wengi siwezi kukosa majibu.

Nimeshaanza ku practice, leo nimenunua blacelet za Kenya mimi na familia yangu.

images (21).jpeg
 
Is Kenya the best country kwako? Kwa lipi hasa? Wakenya wenyewe wanakimbia kwao wewe mtindiga unataka kwenda.

Kuna mkenya aliniambia watanganyika washamba sana, wakifika Nairobi wanashangaa as though wamefika London.
 
Yeah tunakimbia kwenye mashindano ya riadha lakini sio kuikimbia nchi.
 
Is Kenya the best country kwako? Kwa lipi hasa? Wakenya wenyewe wanakimbia kwao wewe mtindiga unataka kwenda.

Kuna mkenya aliniambia watanganyika washamba sana, wakifika Nairobi wanashangaa as though wamefika London.
Ndio Kenya ni bora kuliko Tanzania. Una swali jingine?
 
Wadau naombeni mnisaidie jambo Moja nataka kubadili uraia Mimi na familia yangu niwe raia wa Kenya nifate process zipi Ili niweze kubadili uraia na niweze kumiliki ardhi Kenya na kujenga naombeni msaada Kwa wanaojua nipo serious wadau
Kenya ipo ya kupata ardhi wakati kina Kenyatta na genge lake ndio wamiliki wa ardhi?

Ukishindwa kuwa na ardhi Tanzania iliyojaa mapori usifikirie Kenya.
 
Back
Top Bottom