Nataka uraia wa Kenya, natakiwa nifate njia zipi?

Nataka uraia wa Kenya, natakiwa nifate njia zipi?

Ndio Kenya ni bora kuliko Tanzania. Una swali jingine?
Kweli eeeh kwani Uongo

Nimekwambia is it the best country kwako sijawaambia btn Kenya na TZ ipi bora. Mna reading comprehension disorder nyie watindiga. Kama sentence ndogo tu hamuelewi mtaweza maisha ya huko Kenya? No wonder bongo imewashinda.

Wakenya wenyewe wanakimbia kwao badala muangalie wanaenda wapi nyie mnataka kwenda Kenya jinsi mlivyo na maono mafupi.
 
Is Kenya the best country kwako? Kwa lipi hasa? Wakenya wenyewe wanakimbia kwao wewe mtindiga unataka kwenda.

Kuna mkenya aliniambia watanganyika washamba sana, wakifika Nairobi wanashangaa as though wamefika London.
Wakenya Wamejaa Dubai wanafua chupi za waarabu
 
Kenya ipo ya kupata ardhi wakati kina Kenyatta na genge lake ndio wamiliki wa ardhi?

Ukishindwa kuwa na ardhi Tanzania iliyojaa mapori usifikirie Kenya.
Hiyo ardhi ya Tanzania mnayoiongelea ndiyo hii inayoatikana kwa rushwa na kitapeli? Ambayo tangu na tangu ni migogoro isiyoisha?
Si bora ukaishi kwenye apartments tu ukichoka au ajira ikiisha unahamia kwingine.
 
Wakenya Wamejaa Dubai wanafua chupi za waarabu

Kama wamejaa Dubai nini kimewakimbiza Kenya? Huoni ni ujinga kwenda sehemu ambako wenyeji wenyewe wanakimbia.
 
Hivi nikitaka kubadilisha uraia nichukue uraia wa Kenya natakiwa nifate njia zipi? Najua humu kuna wajuzi wengi siwezi kukosa majibu.

Nimeshaanza ku practice, leo nimenunua blacelet za Kenya mimi na familia yangu.

View attachment 3051212
Kwanini usiombe uraia wa mbinguni
 
Kenya ipo ya kupata ardhi wakati kina Kenyatta na genge lake ndio wamiliki wa ardhi?

Ukishindwa kuwa na ardhi Tanzania iliyojaa mapori usifikirie Kenya.
Kenya ni rahisi sana kupata ardhi. Ata ukafika Leo jioni unaeza kua mmiliki wa ardhi kubwa sana
 
Back
Top Bottom