Nataka uraia wa Kenya, natakiwa nifate njia zipi?

Wadau naombeni mnisaidie jambo Moja nataka kubadili uraia Mimi na familia yangu niwe raia wa Kenya nifate process zipi Ili niweze kubadili uraia naombeni msaada Kwa wanaojua nipo serious wadau siwezi kaa tanzania nchi masikini sana
Tulipowaambia wanaopinga uraia pacha kuwa haiwezekani watu kutoka nje kuja kuchukua uraia wa Tanzania kirahisi, walitubishia sana. Sasa kwa kuwa Kenya wanaruhusu uraia pacha, waje hapa wakushauri jinsi utakavyopata uraia wa Kenya kirahisi!
 
Duuh sawa
 
Wadau naombeni mnisaidie jambo Moja nataka kubadili uraia Mimi na familia yangu niwe raia wa Kenya nifate process zipi Ili niweze kubadili uraia naombeni msaada Kwa wanaojua nipo serious wadau siwezi kaa tanzania nchi masikini sana
Acha unafiki kuja kuuliza hili jambo mtandaoni wewe kama upo serious si uende kwenye mamlaka zinazo husika upewe utaratibu au unaandika huku ili tukuone kwamba na wewe ni mwana mapinduzi
 
Wadau naombeni mnisaidie jambo Moja nataka kubadili uraia Mimi na familia yangu niwe raia wa Kenya nifate process zipi Ili niweze kubadili uraia naombeni msaada Kwa wanaojua nipo serious wadau siwezi kaa tanzania nchi masikini sana
Wewe ni mfurahisha kijiwe...hujawahi kuwa serious kwa lolote.
Ila mada nzuri, ngoja wenye ujuzi waje. Litakuwa ni darasa kwa wahitaji makini.
 
Sorry, Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Is Kenya the best country kwako? Kwa lipi hasa? Wakenya wenyewe wanakimbia kwao wewe mtindiga unataka kwenda.

Kuna mkenya aliniambia watanganyika washamba sana, wakifika Nairobi wanashangaa as though wamefika London.
Kweli eeeh kwani Uongo
 
Hivi nikitaka kubadilisha uraia nichukue uraia wa Kenya natakiwa nifate njia zipi? Najua humu kuna wajuzi wengi siwezi kukosa majibu.

Nimeshaanza ku practice, leo nimenunua blacelet za Kenya mimi na familia yangu.

View attachment 3051212
Umefikiria Jambo kubwa sana .Kenya kesho itakuwa nchi nzuri sana na itapigiwa mfano Afrika time will tell .Tanganyika hata kudai UMEME TU MAJI Wanashindwa .Nyerere aliambiwa na Jomo Kinyatta umetawala Maiti.
 
Back
Top Bottom