Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pm wanasema kuna tatzo ni pm whaspp number yako.
 
Pole sana kijana ila kaa uelewe HAKUNA UTAJIRI WA NAMNA hiyo hizo hadithi za utajiri wa kwa waganga ni story ambazo zinakuzwa vijiweni na mitandaoni tu.
Hiyo hela ambayo utaenda kuliwa na mnganga at the end akupe masharti magumu ya uongo ni bora uanzishe hata biashara ya karanga uwape vijana wawe wanasambaza huku wewe unajituma kwenye pilika nyingine kifupi achana na neno WATANIONAJE weka usomi pembeni kuwa kichaa mtafuta ramani yake ya maisha na Mungu atakuona.
Utajiri ni formula ya maisha yako ya kila siku ambayo inazingatia mtazamano wako juu ya maisha,mafikilio yako ya kila siku na matendo yako ya kila siku kama wewe ni mfikilia Amapiano,bata,mademu na kuhonga na kutaka mapumziko ya kifala fala trust me utafikia point hutaona tija ya wewe kuwepo duniani na ndipo shetani atakuwa hachezi mbali na masikio yako ili akunong'oneze ujiue ili utoroke msoto wa hapa duniani.
VIJANA WENZANGU maisha ya sasa hayana huruma na mzembe yanapembua wenye NIDHAMU ya juu sana na NIDHAMU hizo zipo aina tatu
1.NIDHAMU YA PESA-Hakikisha hela zako ziwe majini ya kuita hela nyingine fanyia vya maana tu-wekeza,save ,venture mpaka zikue fanya kama waha na wakinga wanaingia gameni tunawaona na wanyanyuka tunawaona we kutwa kuwauliza wametumia mnganga gani kumbe wenzio wana nidhamu kali ya pesa
2.NIDHAMU YA MUDA muda wako uendane na kufukuzia ndoto zako kwa kujituma utilize muda kwa kutafuta taarifa/maarifa sahihi ya kile unachokifanya
3.NIDHAMU YA JAMII Jamii sio ya kupuuza maana any time inaweza kukuokoa ana kukuacha uangamie bora ujifanye mpole kuliko uwe mjivumi mbele ya jamii maana kwa wajasiriamali jamii ndio mteja mwenyewe
HITIMISHO:
Kama ilivyo utajiri una hizo kanuni chache nilizoandika hivyo hivyo umasikini nao una formula ambazo mara nyingi huwa kinyume na hizo kanuni zilizo andikwa.
 
Back
Top Bottom