malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Asante ndo hivyo nimeambiwa Misha inayoleta damu kwenye uume ni miembamba inafanya damu isiwe nyingi ktk uume hivyo kusababisha uume kutosimama muda mrefu na kusex kwa mda mfupi bila kuweza kurudia round nyingine... sehemu zingine koote hakuna shida shida ni hiyo
Asante mkuu ...ndo najaribu kuuliza uliza humu wadau nyie tiba ya mishipa miembamba ya uumePole jembe
Ahsante mkuuPole sana
Duh naogopa kutoa medical advice nisije enda against your Doctor. Ila jaribu kula tangawizi mbichi inchi 2 na maji Lita 2-3 kwa siku kwa muda wa siku 14.Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Nimekuelewa ila tangawizi nshakunywa sana tuDuh naogopa kutoa medical advice nisije enda against your Doctor.
Ila jaribu kula tangawizi mbichi inchi 2 na maji Lita 2-3 kwa siku kwa muda wa siku 14.
Narudia hii sio medical advice, ni maoni yangu unaweza fanya au usifanye na chochote kitakachokutokea , I will not be responsible for it.
Hakika, tatizo la jamaa ni stress.. anatakiwa atibiwe saikolojia kwanza. Hayo mengine yafuate baadae,Pole mkuu, mwenza wako akuelewe tu huku ukiachana na stress
Nimehangaika nayo kwa miaka 9 Kila daktar alikua anasema Niko sawa ni ishu yakisaikilojia zaidi..so huyu wasasa alipendekeza vipimo vyote kuanzia hormone, cholesterol, t3, t4, TSH, BP, sugar, testosterone.lh fertility hormones, penile Doppler uss na kuangalia mishipa ktk uume kama Iko vizur ndo kuja kuona kuwa mishipa ni miembamba kwahiyo damu ni ndogo inayokuwa ktk uume sababu ya mishipa miembamba hivyo kufanya uume uiswe strong na kuweza kurudia round nyingine ndani ya muda mfupiPole mkuu, mwenza wako akuelewe tu huku ukiachana na stress
Kivip stress mkuuHakika,tatizo la jamaa ni stress..anatakiwa atibiwe saikolojia kwanza. Hayo mengine yafuate baadae,
Hii ni speed governor nzuri kabisa, fanya kwa ukamilifu, kurudia siyo hoja sana.Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Sijakuelewa hapa mkuu fafanua vizurHii ni speed governor nzuri kabisa, fanya kwa ukamilifu, kurudia siyo hoja sana.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ni kama nilisikia kwa sasa Muhimbili wanapandikiza uume, so unaweza kujichagulia na size unayoitaka.Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Kufanya kwaukamilifu ndio sometime inakuwa yes sometimes inakuwa no yaani ngoma inasima ukiweka ukeni ikipampu dk2 inalala ikiwa humo humo au dk3 umekujoa kurudia baada ya masaa mengiHii ni speed governor nzuri kabisa, fanya kwa ukamilifu, kurudia siyo hoja sana.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hawapandikiz uume Bali wanaweka virija vyakujaa na kusinya vikijaa upepo uume utasimama kwa mda mrefu zaidNi kama nilisikia kwa sasa Muhimbili wanapandikiza uume, so unaweza kujichagulia na size unayoitaka.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwani ni lazima kurudia round mkuuHabar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Sio lazima ila hata hiyo round kwanza huwa naweza kufanikiwa kuifanya Tena kwa dk chache sana au nikashindwa kabisa kufanikiwa kuifanyaKwani ni lazima kurudia round mkuu