malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
- #41
Ni kweli kabisa kuangalia ni muhimuHawa madoctors uangalie unaweza katwa mishipa na biashara ikaishia hapo.
Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa kuangalia ni muhimuHawa madoctors uangalie unaweza katwa mishipa na biashara ikaishia hapo.
Pole
Mimi kama mimi naona ni muda kidogo nakuwa natamani kuendelea na tendo ila ndio nashindwawewe kama wewe je huwa unaridhika baada ya hiyo round 1?
muweke mwenzako pembeni,hebu nieleze wewe binafsi unaridhika?
Uzito kg 72 urefu cm168 mazoezi ya pumzi kukimbia sifanyi sababu na matatizo ya goti kuuma wakati kufanya mazoezi kuruka kamba yenyewe inawezekana pushup sijawahi fanya kwakweli sababu mi mfupi sitaki maji yenyewe nakunywa kuanzia lita2 Hadi tatu kwasiku...pilipili manga sijawahi tafuna maana nna vidonda vya tumboUzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
Nakula vyakula vilivyopikwa na mafuta hasa Nazi vile vile vya kuokwa sijawahi kula kukaanga vyakula nakula mara moja moja.. pia wingi wangu wa damu sijawahi kujua upo kiasi ganiUzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
Sio dct!!!ila mazoez ni ya mwili hupelekea mirija kutanuka na damu kuflow vzrHabar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Naambiwa kama hivi mishipa nimiembamba...ili niwe ok ilitakiwa mishipa iwe minene damu ipite nyingi ili uume kuwezesha kukaa mda mrefuUzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
Ni hospitali gani mkuu?Nimefanyia vipimo vyote hospital..nadaktar nilieonana nae urology specialist
Mdm urology specializeld hospital..Ni hospitali gani mkuu?
Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k
Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
Hiyo triglycerides na protein sjafayiwa maana sjaona ktk majibu ya vipimo vyanguNi hospitali gani mkuu?
Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k
Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
Nifanyaje mkuu maana imeonekana mshipa yangu nimiembambaUsijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .
Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
Nazingua nin mkuu...Iko dar mbezi kwa zenaIko wapi?
Unazingua ujue!
Sina hakika kama hyo huduma inafanyika hapa nchini,sijawahi kuisikia..jamaa atakuwa katupiga kambaNi hospitali gani mkuu?
Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k
Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
Uzito kg72 urefu cm168 maoezi ya pumzi kukimbi sifanyi sababu namatatizo yagoti kuuma wakati kufanya mazoezi kuruka kamba yenyewe inawezekana pushup sjawahi fanya kwakweli sababu mimfupi sitaki maji yenyewe nakunywa kuanzia lita2 Hadi tatu kwasiku...pilipi manga sjawahi tafuna maana navidonda vyatumbo
Tatizo la jamaa ni la kisakolojia Zaidi, anashindwa hata kuelewa mahusiano ya afya ya akili na tendo la ndoa.. Tunamshauri kila mara lakini hamalizi wiki analeta uziUsijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .
Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
Namim navidonda vya tumbo tangu 2018 ila shida yakusimamisha dhaifu kushindwa fanya ipasavyo nimekua nayo kabla sijaugua madonda ya tumboPole sana mkuu ,tatizo naloliona ni vidonda vya tumbo ndiyo chanzo na wala si mishipa....Mishipa hata ikiwa midogo inapitisha damu tu.
Nazingua nin mkuu...Iko dar mbezi kwa zena
Nomeogopa sana.je, uriambiwa sabab ni nn? au urikua unapiga punyeto sanaHabar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume