Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Namim navidonda vya tumbo tangu 2018 ila shida yakusimamisha dhaifu kushindwa fanya ipasavyo nimekua nayo kabla sijaugua madonda ya tumbo

Juzi nilisikia hospital ya dodoma benjamin mkapa wamepandikiza kifaa cha kuweza kusimamisha uume fresh kwa wanaume wawili kwa mafanikio makubwa baada ya hapo kuna watu zaidi ya elfu 1000 wameenda kuomba ufafanuzi jinsi inavyofanya kazi...jaribu kucheck hiyo hospital.
 
Tatizo la jamaa ni la kisakolojia Zaid,,anashindwa hata kuelewa mahusiano ya afya ya akili na tendo la ndoa..tunamshauri kila mara lakini hamalizi wiki analeta uzi
Nimeshuhudia mara nyingi akishauliwa ila haelewi bahati mbaya haelewi kuwa miongoni mwa wanaomshauri wengine ni madaktari pia .

Haya mambo ukiyaendea pupa utaharibu hela na afya yako mwenyewe
 
Juzi nilisikia hospital ya dodoma benjamin mkapa wamepandikiza kifaa cha kuweza kusimamisha uume fresh kwa wanaume wawili kwa mafanikio makubwa baada ya hapo kuna watu zaidi ya elfu 1000 wameenda kuomba ufafanuzi jinsi inavyofanya kazi...jaribu kucheck hiyo hospital.
Ndo Hiko Hiko wanaweka kitube ktk uume amchazo kinakua kinajazwa na pampu unapotaka kufanya inasimama tube ikiwa na upepo Ina enlarge kufanya uume usimame mda mrefu zaid operation Yake yakuweka naskia m12
 
Kusema umekula tangawizi sana huo ni uongo, mi nimekula tangawizi kwa ajili ya kikohoz ila kilichoongezeka ni nguvu za kiume.
Sikia ongeza Na kitunguu swaumu na asali hospital utapoteza mpaka uwezo ulobakia amini hivyo
Vidonda vya tumbo ndo changamoto kula hivo nifanyaje
 
Back
Top Bottom