Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Kuna watu wapuuzi humu mtu ameshaeleza amefanya yote mliyomuelekeza na hajapata mafanikio yeyote bado mnang'ang'ania sijui hasikilizi ushauri na bado amechukua hatua nyingine nyie mnamuona mkaidi wabongo tabu sana
 
Ingekuwa ni mimi dr wa kwanza ningemweleza kuwa nimepitia kwa dr (bila kumtaja jina wala hospital) na akaniandikia vipimo hivi na kunipa ushauri huu. Halafu huyo mwingine nitamwambia tu nilimwelezea mtu wangu wa karibu akaniambia pengine inaweza kuwa ni tatizo fulani hivyo niende kucheki.
Hivi kumuelezea nilipita kwa daktar flani ntakua sio sahihi eti
 
Kuna watu wapuuzi humu mtu ameshaeleza amefanya yote mliyomuelekeza na hajapata mafanikio yeyote bado mnang'ang'ania sijui hasikilizi ushauri na bado amechukua hatua nyingine nyie mnamuona mkaidi wabongo tabu sana
Madaktar mpaka Sasa ndani ya miaka9 nilioonana nao prof yongolo,Dr ikbar,kapona,Dr chacha,physician mkoani, madr mnh mara mbili wao wanasema hakuna shida,ushauri saikolojia Dr mauki..
 
Mkuu nikiishia round yakwanza najiona sjaridhika sababu niround ya dk3 tu siwezi Tena alafu hiyo roud wakat mwingne nafeli uume ukiwa ukeni ama hata kabla ajaingiza...napia mwenza wangu hiyo Hali haridhiki simfikishi kwa dk3 anahitaji zaid angalau dk20 nazaid awe amefika mshindo hata mara2
labda kwaajili wewe mwanaumd..ila kuna njia nyingi tu za kumfikisha mwenzi wako...usijitese kihivyoo
 
Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume

Achana na hu ujinga, jama unawezana umezalisha, au mtoto, achana nakurudia tendo, hakuna mashindano ndugu uanze ma operation yasiyo maana, na ni Hospital gani hiyo?
 
Every minute n second.. hakika hutuwahi kujutia kwa uwamuzi wako, ila usikute unajenga ukuta na kubomoa. Mawazo hasi, majibu hasi juu ya hicho unakiona kwako tatizo achana nayo wala usiyape ruhusa katika akili yako
Kabisa kwangu ilikua nimwendo wa mawazo hasi majibu hasi maana yaan hata ukiombwa tendo namke inakua unawaza sana
 
mwache awe changudoa kama anajielewa hawezi kufanya huo ujinga labda kama ni ganda
Nimekuelewa mkuu kweli kama Ganda mke atafanya huo ujinga kama anajielewa hatofanya..Sasa wakwangu anaonyesha dhahiri jinsi amabavyo hafurahii tendo navyofeli uwanjani ananungunika na kutuumia hapati Ile nafsi Yake inataka
 
Achana na hu ujinga, jama unawezana umezalisha, au mtoto, achana nakurudia tendo, hakuna mashindano ndugu uanze ma operation yasiyo maana, na ni Hospital gani hiyo?
Mdm urology specialize hospital...shida sio kurudia Hilo tu lakwanza nimda mchache sana dk3 hazizid hapo au kufeli kabla ya dk3 ukalala sjafika mshindo au kushindwa kusimama kuingiza ukeni
 
Ndo Hiko Hiko wanaweka kitube ktk uume amchazo kinakua kinajazwa na pampu unapotaka kufanya inasimama tube ikiwa na upepo Ina enlarge kufanya uume usimame mda mrefu zaid operation Yake yakuweka naskia m12
Hili tatizo limekufanya upoteze kujiamini na kusikiliza kila unaloambiwa na daktari, anza mazoezi na hilo goti litapona kwa mazoezi, kula na kunywa vitu bvinavyoongeza hamu ya tendo na nguvu. Tatu jiamini.
Hiyo ndio. Tiba.
 
Mdm urology specialize hospital...shida sio kurudia Hilo tu lakwanza nimda mchache sana dk3 hazizid hapo au kufeli kabla ya dk3 ukalala sjafika mshindo au kushindwa kusimama kuingiza ukeni

Soma sana details ya shida solution, mazara, side effects etc, maisha ni mazuri tu sana kama unaweza kuwa na watoto hata kama kula Mbususu ni shida.
 
Hili tatizo limekufanya upoteze kujiamini na kusikiliza kila unaloambiwa na daktari, anza mazoezi na hilo goti litapona kwa mazoezi, kula na kunywa vitu bvinavyoongeza hamu ya tendo na nguvu. Tatu jiamini.
Hiyo ndio. Tiba.
Mkuu kujiamimni nilishapoteza nahofu nyingi sana Sasa ktk kuliendea tendo...pia uko nyuma nshajitune kwakutoa hofu nakujiamini sana ila still nkawa nakua vile vile sjui nakosea wap...kuhusu goti aisee yaan lilishashindikana naweza Anza mazoezi vizur kufikia wika yatatu goti linaumaaa baada ya wiki moja linaacha ikifika wiki yatano ya mazoezi linauma zaid siwez kukimbia hata kidogo hata nijilazimishaje wapi nalazimika kuacha mazoez
 
Soma sana details ya shida solution, mazara, side effects etc, maisha ni mazuri tu sana kama unaweza kuwa na watoto hata kama kula Mbususu ni shida.
Watoto wenyewe ninao2,solution ya kuwa namishipa miembamba ya uume ndio nahangaika kujua nin solution ya kufanya mishipa itanuke yauume iwe mikubwa kuweza kuruhusu damu ifike nyingi
 
Back
Top Bottom