chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Wewe ungependa kurudia.Sijakuelewa hapa mkuu fafanua vizur
Kurudia sio issue miye mara nyingi mwenza wangu naenda naye kimoja lakini hicho kimoja ndani yake viko 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ungependa kurudia.Sijakuelewa hapa mkuu fafanua vizur
Anatakiwa afanye zaidi ya hapo,aanzie kwenye mapishi, akupe kampani mazoezini,kisha mmalizie chumbani.Nilishakaa nae nikamuelezea kwa uwazi kabisa kuwa ndie daktar..ila anaishia kuwa anakuambia unakua namawazo yanin Sasa chukulia kawaida
Lakini Iko kimoja Chako Cha dakika ngapiWewe ungependa kurudia.
Kurudia sio issue miye mara nyingi mwenza wangu naenda naye kimoja lakini hicho kimoja ndani yake viko 3
Kiuchumi siko vibaya sana kula kuvaa kuvisha familia namengine madogo madogo sio shida sanaAnatakiwa afanye zaidi ya hapo,aanzie kwenye mapishi, akupe kampani mazoezini,kisha mmalizie chumbani.
Kitu chengine uwe na tu " hela kidogo".
Unapona mbona,kwakuwa ukiwa vyema kiuchumi muda unakuwa nao
Ila la mazoezi naona litanisaidia sana kama Niko poa Kila kitu kasoro mishipa tu naimani mazoezi yatanisaidia sanaAnatakiwa afanye zaidi ya hapo,aanzie kwenye mapishi, akupe kampani mazoezini,kisha mmalizie chumbani.
Kitu chengine uwe na tu " hela kidogo".
Unapona mbona,kwakuwa ukiwa vyema kiuchumi muda unakuwa nao
Najua ni mke ndo maana nikasema hayo mapungufu yanamfaa kabisa kuvumilia, ila kama unataka masuala ya surgery basi hayaMkuu nimke tayar sio mchumba nimke wamika8 ktk ndoa
Hata wanaot**mba vizuri wanagongewa sana tu,huwezi kumuelewa mwanamke anataka nini katika mahusiano,wewe unataka kurudia round mbili ili ugundue nini? Tosheka na hali yako,unataka kushindana na papuchi!?Sasa mke sikunakuachika au kugongewa kama simtombi vizur simridhishi
Bora utumie masaa mengi upige kimoja heavyNimeandikwa madawa yakizungu yakutumia mwezi mmoja. Dawa zakimasai sihadi nimpate anaejua vizur na mkogo naskia humu wanasema hauna ishu sababu haukupi furaha yatendo sababu unakaa masaa mengi bila kukojoa
Maswala ya surgery yananiogopesha kwakweli..maana sehemu yakiungo kinachofanyiwa surgery ni very sensitive wakibugi kidgo kilema Cha maisha hiki apaNajua ni mke ndo maana nikasema hayo mapungufu yanamfaa kabisa kuvumilia, ila kama unataka masuala ya surgery basi haya
huyo tayari anachepuka ndio maana anakulinganisha fungua machoNimekuelewa mkuu kweli kama Ganda mke atafanya huo ujinga kama anajielewa hatofanya..Sasa wakwangu anaonyesha dhahiri jinsi amabavyo hafurahii tendo navyofeli uwanjani ananungunika na kutuumia hapati Ile nafsi Yake inataka
Nikweli kabisa mkuu mtu huwezi shindana na papuchiHata wanaot**mba vizuri wanakongewa sana tu,huwezi kumuelewa mwanamke anataka mini katika mahusiano,wewe unataka kurudia round mbili ili ugundue nini? Tosheka na hali yako,unataka kushindana na papuchi!?
Miye ndiye naamua dk 20, 30, nkLakini Iko kimoja Chako Cha dakika ngapi
Abso-fucking-lutely!Ila la mazoezi naona litanisaidia sana kama Niko poa Kila kitu kasoro mishipa tu naimani mazoezi yatanisaidia sana
Nami kunawakati nilikonekt dot mbona anazungumzia vitu kwa performance kubwa yaan kama Kuna experience mpya kaipata maana mtu anakuambia kama hujanifanya mda mrefu ukinifanya unisugue kweli kwelihuyo tayari anachepuka ndio maana anakulinganisha fungua macho
Nakwambia nimtihani mzito huu..wifi Yako akiwa nachanges amabazo zinaonyesha anazagamuliwa nje hakuta kuwa na option zaid yakila mtu kuwa nahamsini zakePole bro, wifi sasa sijui itakuwaje? Inatakiwa awe mvumilivu sana [emoji3]
Bas uko vyema mkuu wangine Sasa tunatamani tufikie hizo dk20,30 bila uume kulala Wala kuwa legelegeMiye ndiye naamua dk 20, 30, nk
Maswala ya surgery yananiogopesha kwakweli..maana sehemu yakiungo kinachofanyiwa surgery ni very sensitive wakibugi kidgo kilema Cha maisha hiki apa
na ndo mkeo anakuacha laivlaiv sasaMaswala ya surgery yananiogopesha kwakweli..maana sehemu yakiungo kinachofanyiwa surgery ni very sensitive wakibugi kidgo kilema Cha maisha hiki apa
kikubwa mpuuze,pia hicho kitu unataka kukifanya ni vyema ukafanya chini ya watalamu haswa vinginevo unaweza kuishia kua nyuki wa mashineNami kunawakati nilikonekt dot mbona anazungumzia vitu kwa performance kubwa yaan kama Kuna experience mpya kaipata maana mtu anakuambia kama hujanifanya mda mrefu ukinifanya unisugue kweli kweli
Cha kwanza tu ukizidisha dk unalalaBas uko vyema mkuu wangine Sasa tunatamani tufikie hizo dk20,30 bila uume kulala Wala kuwa legelege