Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Sasa kwaninu usichukulie kawaida kupungukiwa nguvu za kiume ni kama mtu kuwa na pengo ni ww unajichukuliaje! Kwamba unapengo huwezi kula nyama au unakula nyama unavyoweza wewe usitamani meno ya wengine mradi wote mmekula nyama[emoji109]
Nikweli mkuu hapa nikubalo Hali halisi nakujikita namzaoezi na lishe Bora zaid kuiweka saikolojia sawa
 
Nakwambia nimtihani mzito huu..wifi Yako akiwa nachanges amabazo zinaonyesha anazagamuliwa nje hakuta kuwa na option zaid yakila mtu kuwa nahamsini zake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kuweza?!! Nyie tukiwa period tu uvumilivu zero mnatoka, sembuse hiyo changamoto yako?!!!

Wewe mwambie acheze kwa step asilete mimba na magonjwa [emoji12]
 
Nikweli mkuu hapa nikubalo Hali halisi nakujikita namzaoezi na lishe Bora zaid kuiweka saikolojia sawa
Jikubali wewe kama wewe .kama mwenzako haridhiki mwambie tu kua aangalie ustaarabu mwingine! Wanawake wapo kibao wasiopenda heka heka za sex za madakika mob
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kuweza?!! Nyie tukiwa period tu uvumilivu zero mnatoka, sembuse hiyo changamoto yako?!!!

Wewe mwambie acheze kwa step asilete mimba na magonjwa [emoji12]
Ila kuna wanawake wengine wana low libido..i think wake yuko high...
 
Kuliko kujiharibu na Operation tafuta vijana wa boda apo mtaani wakutaftie ule mkongo tena ule wa kilemba umridhishe mkeo apo utatumia tu umfurahishe wife mara moja kwa wiki
 
Kuliko kujiharibu na Operation tafuta vijana wa boda apo mtaani wakutaftie ule mkongo tena ule wa kilemba umridhishe mkeo apo utatumia tu umfurahishe wife mara moja kwa wiki
Sasa huo siwanasema utafika wakat ukitumia kwa mda mrefu uume hautasimama hisia ktk kichwa Cha uume hazipo Tena hautasimama
 
Hakuna kitu kama icho kucheza kwa step..kwangu big to Bora kuishi mwenyewe alone tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia wewe acha wivu mlee watoto. Sasa bro unakaza fuvu wakati kazi ishaishaaaaa yaani kwisheeeney jamani khaaaaaa!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia wewe acha wivu mlete watoto. Sasa bro unakaza fuvu wakati kazi ishaishaaaaa yaani kwisheeeney jamani khaaaaaa!!
Kama kwishney ndio nin...kuishi kwa wasiwasi kujua mwenza wangu anapelekewa moto misiwezi kumpelekea vyema nibora kutoka kuwa nae ili kuwa naaamani yamoyo tu
 
Ila kuna wanawake wengine wana low libido..i think wake yuko high...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna huyo mkewe na wengine wote same yeye akubali matokeo, wivu wa nini wakati inatakiwa afikirie afya yake ndio muhimu kwa sasa [emoji12]
 
Kama kwishney ndio nin...kuishi kwa wasiwasi kujua mwenza wangu anapelekewa moto misiwezi kumpelekea vyema nibora kutoka kuwa nae ili kuwa naaamani yamoyo tu

Kwan show hata ya mbali unapiga??! Au ndio umelala dolo [emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom