Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna huyo mkewe na wengine wote same yeye akubali matokeo, wivu wa nini wakati inatakiwa afikirie afya yake ndio muhimu kwa sasa [emoji12]
Afya yangu naweza ifikiria hata nikiwa peke yangu
 
Kwan show hata ya mbali unapiga??! Au ndio umelala dolo [emoji12][emoji12]
Yaan uume nikalala usingizini unasimama vizur tu nkiwa nahisia unasimama ila sio strong kivile ila daily usiku nkilala nkaimka kukojoa uume umesimama
 
Hilo sijui ila bodaboda wanatumia sana huo kwa wake za watu labda uwe unatumia mara moja moja kunusuru ndoa yako
Yes mara moja sio mbaya..ila naskia huwa kunaspray zakupulizia ktk uume upate Ganz hasa ktk kichwa ukipuliza uume umesimama hautalala kwa d45 utasex utamfikisha mwenza
 
Yaan uume nikalala usingizini unasimama vizur tu nkiwa nahisia unasimama ila sio strong kivile ila daily usiku nkilala nkaimka kukojoa uume umesimama

Je? Inasimama kwenye mpodido?!!! Na unapump fresh kabisaa [emoji12]
 
Lakini vizuri na mkeo akiwepo, acha ubinafsi bro km mzigo hausimami muachie wifi akate kikoko mara moja moja [emoji12]
Mim sio kwamba sisimamishi yaan Sina tatizo la hormones,presha,sukari,moyo,sjui korodani,kuvimba au kuuma au uume kuvunjika...mim shida yangu nimishipa miembamba inatakiwa iwe minene kidgo kufanya damu ije nyingi kufanya uume ukae mda mrefu umesimama ili ufanye sex kwa mda mrefu sababu damu inakuepo nyingi sababu mshipa nimikubwa inahifadhi damu nyingi
 
Unamkaza mkeo vzr?? Au mtalimbo umelala? [emoji16]
Simkazi vizur sababu uume hausimami mda mrefu wakat wakumkaza yaan unalala ikifika dk3 damu inaisha ktk uume au kumaliza mshindo ktk hizo dk3 kabla hajafika yeye mshindo
 
Simkazi vizur sababu uume hausimami mda mrefu wakat wakumkaza yaan unalala ikifika dk3 damu inaisha ktk uume au kumaliza mshindo ktk hizo dk3 kabla hajafika yeye mshindo

Pole sana! Lakini wewe hisia unazo au unamfanya ili uonekane shujaa??
 
Hapa nimeandikwa dawa zamwezi mzima kutumia yaan zakutumia kuweza kufanya kwa mda mrefu..hapa tu vipimo na dawa zimenitoka pesa ndefu

Pole, kweli hiyo hali inakuumiza mpk unatoa pesa ili umpe burudani wifi?? Inataka moyo wa kujitoa!!![emoji16][emoji16]

Kwahiyo ulikuwa unampeleka round ngapi?!! [emoji12]
 
Back
Top Bottom