Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Hiyo hataki hata kusikia huoni uko juu anavyokatalia anataka amkaze mwenyewe cha dk 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mdogoangu hapo hakuna kazi, jamaa yuko tyr atumie mkongo ahatarishe afya yake lakini sio mkewe agawe utraaamu nje [emoji12]
sali sana kwa mumeo si unaona hali ni tete??
 
Ni hospitali gani mkuu?

Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k

Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
Mkuu pia nna bawasiri ya mda mrefu takribani miaka8 Sasa..Sasa sjajua kama nayo inachangia mishipa iwe miembamba
 
Ukiishia round 1 unakuwa hujaridhika unahitaji zaidi mkuu?

Tuanze na self satisfaction unajiskiaje? Haya mahangaiko ni kwa ajili yako binafsi

Au kwa ajili ya mwenzio ambae yeye haridhiki na round 1, tuanzie hapo kwanza.
Yaan manz umpige round moja aisee[emoji848]
 
Back
Top Bottom