mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
vipandikizi ni nini..... fafanuakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipandikizi ni nini..... fafanuakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume
Kukazia nje binafsi nilivyoumbwa siwez stahamili nikuvunja ndoa tu ndo option Bora kwangu..kuishi unajua mke anakazwa kwangu impossible njia Bora nikuseparate tu
Round moja kabla shida haijakuwa kubwa round moja labda ya asubuh mda kama dk10 hivi na nyinge labda usiku yadk7 ..Sasa kama miezi3 imekua siwez vizur hata hizo roud yadakika3Pole, kweli hiyo hali inakuumiza mpk unatoa pesa ili umpe burudani wifi?? Inataka moyo wa kujitoa!!![emoji16][emoji16]
Kwahiyo ulikuwa unampeleka round ngapi?!! [emoji12]
Apo uchague the lesser evil sasa dawa za hospitali au hzo mambo mwisho wa siku zte zina effects sawa positive na negative ila uhakika shemeji ataenjoyYes mara moja sio mbaya..ila naskia huwa kunaspray zakupulizia ktk uume upate Ganz hasa ktk kichwa ukipuliza uume umesimama hautalala kwa d45 utasex utamfikisha mwenza
Hapana sio kuniona balo balo Bali kuweka kumfikisha kukata kiu yake iwe hata ya ye kukojoa bao moja ingefaa Sasa hata Hilo moja yaani namaliza ndani ya hizo dk3 ye anakua Bado kabisa hata Hilo moja hajakojoaYaani akuone balobalo kwamba show kali bado unaimiliki ipasavyo huku unajiumiza [emoji12]
Vifaa maalumu kumsaidia mtu aweze simamisha uume kwa mda .mrefu aweze kumridhisha mwenza wakevipandikizi ni nini..... fafanua
Round moja kabla shida haijakuwa kubwa round moja labda ya asubuh mda kama dk10 hivi na nyinge labda usiku yadk7 ..Sasa kama miezi3 imekua siwez vizur hata hizo roud yadakika3
Vitajulikana tu namna yakuishi..ila kuishi unajua mke anakazwa aisee siwezi stahamili kwanilivyoumbwaUtajitesaa na wewe sasa!!! Hivyo vitu sio vya kuchukulia hasira nani atakuhidumia wewe na watoto ukianza mawenge ya wivu [emoji12]
unazungumzia penis pump??Vifaa maalumu kumsaidia mtu aweze simamisha uume kwa mda .mrefu aweze kumridhisha mwenza wake
Hapana sio kuniona balo balo Bali kuweka kumfikisha kukata kiu yake iwe hata ya ye kukojoa bao moja ingefaa Sasa hata Hilo moja yaani namaliza ndani ya hizo dk3 ye anakua Bado kabisa hata Hilo moja hajakojoa
Yeah nikweli maisha ya furaha yapoKuna muda naona wanyama viumbe visivyo binadamu vina maisha ya furaha kuliko sote kwa sababu ngono kwao sio ya maana zaidi ya uzazi!
Sisi ambao tumeipa ngono kipao mbele hakuna rangi tusio iona!
Hata hivyo ndugu mleta mada pole, ushauri wangu maisha ya furaha na amani nje ya hilo unalosumbukia yapo ni kiasi tu cha kuyatafuta.
Nidanje kwasababu ipi..alafu ishu yakufa notofauti kabisa..nibora kuishi kujua umeachana namtu kaenda olewa au anabwana wake namaisha yao kuliko kuishi namke agongwe eti uishi nae sababu huwezi mgonga vizur..kisa tu chakuwa pamoja mlee watoto hapana kwakweliTulia achana na kuwaza kumridhisha mkeo, jali afya yako kwanza! Ushafikiria ukifa atakaa bila ya kutrombeeesha [emoji1787]
Wewe wivu ndio utakaokumaliza na ukiuendekeza utadanja nakwambia
Sio penis nivitube winawekwa ktk uume vitube unakua unakijaza napampu upepo kinatanuka uume unasimama utafanya Hadi uchoke mwenyewe Kisha unatoa upepo unasinyaaunazungumzia penis pump??
Nidanje kwasababu ipi..alafu ishu yakufa notofauti kabisa..nibora kuishi kujua umeachana namtu kaenda olewa au anabwana wake namaisha yao kuliko kuishi namke agongwe eti uishi nae sababu huwezi mgonga vizur..kisa tu chakuwa pamoja mlee watoto hapana kwakweli
Nikweli kabisa acha nifuate ushauri wadaktar...mke nae ndo anautaka umkune balaa kumkata nyege zamda mrefuSikiliza km unahitaji kupona acha kuforce kumpelekea mkeo moto…..
Fuata ushauri wa doctor unaweza kuwa vizuri, kiranga chako cha kutoka kuonyesha show ndiomana tatizo limezidi hiloo [emoji12]
kama vipi anipe dayworker😂Basi bro endelea kupiga kazi, paka mkongo kazi iendelee [emoji12]
Acha niendelee tafuta tiba iliyobora isio na effect hapo baadae naikubali hali maisha lazima yaendeleeBasi bro endelea kupiga kazi, paka mkongo kazi iendelee [emoji12]
aha... ni vile vi-penile implants... pole sana, your sex life will never be the sameSio penis nivitube winawekwa ktk uume vitube unakua unakijaza napampu upepo kinatanuka uume unasimama utafanya Hadi uchoke mwenyewe Kisha unatoa upepo unasinyaa
Ha ha ha ha Kuna tego nimeweka ukiweka ukotoa ngoma hailali ndo bye byekama vipi anipe dayworker[emoji23]