Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Uzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
Uzito kg 72 urefu cm168 mazoezi ya pumzi kukimbia sifanyi sababu na matatizo ya goti kuuma wakati kufanya mazoezi kuruka kamba yenyewe inawezekana pushup sijawahi fanya kwakweli sababu mi mfupi sitaki maji yenyewe nakunywa kuanzia lita2 Hadi tatu kwasiku...pilipili manga sijawahi tafuna maana nna vidonda vya tumbo
 
Uzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
Nakula vyakula vilivyopikwa na mafuta hasa Nazi vile vile vya kuokwa sijawahi kula kukaanga vyakula nakula mara moja moja.. pia wingi wangu wa damu sijawahi kujua upo kiasi gani
 
Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Sio dct!!!ila mazoez ni ya mwili hupelekea mirija kutanuka na damu kuflow vzr
 
Uzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
Naambiwa kama hivi mishipa nimiembamba...ili niwe ok ilitakiwa mishipa iwe minene damu ipite nyingi ili uume kuwezesha kukaa mda mrefu
 
Nimefanyia vipimo vyote hospital..nadaktar nilieonana nae urology specialist
Ni hospitali gani mkuu?

Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k

Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
 
Mdm urology specializeld hospital..
 
Hiyo triglycerides na protein sjafayiwa maana sjaona ktk majibu ya vipimo vyangu
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
Nifanyaje mkuu maana imeonekana mshipa yangu nimiembamba
 
Ni hospitali gani mkuu?

Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k

Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
Sina hakika kama hyo huduma inafanyika hapa nchini,sijawahi kuisikia..jamaa atakuwa katupiga kamba
 
Uzito kg72 urefu cm168 maoezi ya pumzi kukimbi sifanyi sababu namatatizo yagoti kuuma wakati kufanya mazoezi kuruka kamba yenyewe inawezekana pushup sjawahi fanya kwakweli sababu mimfupi sitaki maji yenyewe nakunywa kuanzia lita2 Hadi tatu kwasiku...pilipi manga sjawahi tafuna maana navidonda vyatumbo

Pole sana mkuu, tatizo naloliona ni vidonda vya tumbo ndiyo chanzo na wala si mishipa....Mishipa hata ikiwa midogo inapitisha damu tu.
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
Tatizo la jamaa ni la kisakolojia Zaidi, anashindwa hata kuelewa mahusiano ya afya ya akili na tendo la ndoa.. Tunamshauri kila mara lakini hamalizi wiki analeta uzi
 
Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Nomeogopa sana.je, uriambiwa sabab ni nn? au urikua unapiga punyeto sana
 
Back
Top Bottom