Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Nafikiria kuwaona madaktar bingwa wangine wawili prof yongolo aliestaafu,Dr tosir pia nawamgine mnaweza nielekeza je nikshawaona wangine kunahaja yakuwaambia uko nilikopita namajibu yake

Hapa nimeandikwa dawa zamwezi mzima kutumia yaan zakutumia kuweza kufanya kwa mda mrefu..hapa tu vipimo na dawa zimenitoka pesa ndefu
Zinakusaidia?
 
Mkuu vp umejaribu kufanya mazoezi yakukimbia kilasiku ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…