Nafikiria kuwaona madaktar bingwa wangine wawili prof yongolo aliestaafu,Dr tosir pia nawamgine mnaweza nielekeza je nikshawaona wangine kunahaja yakuwaambia uko nilikopita namajibu yake
Zinakusaidia?Hapa nimeandikwa dawa zamwezi mzima kutumia yaan zakutumia kuweza kufanya kwa mda mrefu..hapa tu vipimo na dawa zimenitoka pesa ndefu