Yani full tafrani home,ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka uyu ndugu,kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka ,leo kaamka mapema kaanza kutia makelele hamkeni!!! hamkeni!!! Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tunaratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake ya kufanya.Hadi jinsi ya kuvaa nguo anatupangia,yeye mwislam anataka wote tuvae minguo mirefu kha hapana!!! kwakweli natamani aondoke ata kesho ana kazi ya kusemana tu, hadi kufatilia jikoni jinsi unavyopika......."Jana kaniita akidai ana shida anataka tuzungumze nikamwambia sawa,mada yenyewe sasa ni kuhusu mavazi yangu ety nisivae suruali" Leo nimevaa sketi ndefu ananambia napenda uwe unavaa ivi kila siku!!! kwani mimi ni mtawa wa st fransis!!!!!!!.........