Natamani aende kwao tu....

Unaonekana una shida we mtoto. Kwanza hujatuambia ni nani yako na ana umri gani?
Pia unaonekana huna malezi ko ni vitoto flani ivi vimefunga shule/chuo vinaishiishi kama mabata vinaamka muda vinaotaka vyenyewe, vinapika muda viutakao, vinavaa hovyo na hata adabu havina.

Jukum la malezi ni la mtu yyt ambae amekushinda maarifa. Haijalishi ni mjomba, shangazi au babu akija kutembea kwenu ana haki ya kusema lolote analoona halipo sawa na kukurekebisha. Sisi tumekuwa hata ukikutana na mtu baki mtaani ukafanya kosa anakuadhibu na ukifika home unakausha mana wakijua wazazi wanakuongezea fimbo.

Hatima yake ndo tunapata wake wa hovyo mke ambae anaamka saa4, anavaa hovyo anapika too late au hapiki kabisa. Badilika mdogo wangu hakuna binadam anaefurahia kumuona ndugu yake ana tabia za hovyo . KWA sisi hata ukituvalia vichupi tutafurahi lakini huyo kwakuwa ni ndugu yako hawezi kufurahia lazima akuseme, na hata wewe huwezi furahi kuona mwanao anatembea na bikini.

Nb: KICHAA ANACHEKESHA AKIWA AKUHUSU
 
Aah! Kumbe wale wanaoamka saa 2 asubuhi anachukua kahotipoti anakwenda gengeni kununua chapati na maharage.
Omeona ee! Afu kinasemwa kinakuja juu et. Mara paaaaah umeowa cha hivi[emoji2][emoji2][emoji2]
 
How old are you? hufanyi kazi au ndo umemaliza form four..wazazi wako wangekuwa hivo leo hii bado mngekuwa nyumba ya kupanga
Ahsanteh baba. Sipati picha wanaenda kuwa wazazi wa aina gani hawa?
 
Ahsanteh baba. Sipati picha wanaenda kuwa wazazi wa aina gani hawa?
Bado anakaa kumuwaza mgeni...mtu akitaka jua kachelewa kiasi gani angalia age ulioko nayo then rudi nyuma mzazi wako akiwa na age yako alikuwa wap na anafanya nini..utagundua mzazi wako hakuamka asubuhi na kuingia jf kuandika thread za kijinga bali alikuwa akipambana ndo mana umekuwa katika mazingira mazuri
 
Yawezekan mgeni yupo kwenye nafasi yakuwamudu wenyeji wake.Anajiamini Sana
 
Afu kimechonishangaza et kinalalamika kabisa kana kwamba ni haki yake kulala mpaka saa4 na kutembea uchi. Duh! Nchi ina vijana wa hovyo hii
 
Amesikia mpwayungu village kesho amesema anaondoka😂😂
 
Afu kimechonishangaza et kinalalamika kabisa kana kwamba ni haki yake kulala mpaka saa4 na kutembea uchi. Duh! Nchi ina vijana wa hovyo hii
Kijinga hiko kitakuwa kinakakaa uchi sana ..afu bado muda huo anataka endelea kulala 😁 asee umasikini kwa hivi hautaisha
 
Hapa pa kichaa
 

Kuna uzi humu unasema "temeke kila siku wanandoa wanaachana"ndio mimeamini saa hivi ni kweli
 
Anakujenga uje kuwa, mwanajamii mwenye kujua majukumu na wajibu wako, mwenye kujisitiri na mke, mama bora!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…