Natamani binti zangu waje wawatazame Ester Matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee kama 'role model' wao

Natamani binti zangu waje wawatazame Ester Matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee kama 'role model' wao

Eat more ya Armando Guebuza, inafurahisha
Mimi napenda Frontline

Frontline where names are declared immortal
Frontline where our blood shall irrigate the victory

kuna na ile poem sina hakika kama ni ya kwake

They drive me along, they do they do
These brothers are no longer brothers
There hands are whips ...
No longer am I the same mother's child

Nshasahau ila nilikuwa napenda sana.

Halafu kuna kitabu cha Ngungi cha the Grain of wheat na the river between nilivipenda sana
 
Uko vizuri sana mkuu,
 
Nilikuwa napenda sana poems na novels mkuu mpaka leo napenda sana novels hasa za fiction ila ndiyo muda wa kusoma unakosa nshakuwa na majukumu
Ni kweli mkuu, nami pia hupenda sema majukumu na hii mitandao taabu tupu.
 
Kweli kabisa hata nikitaka kusoma siwezi concentrate nitajikuta nishazama JF mara nishaenda kwa Thoughty2 Youtube.
acha uvivu vitu kama hivi mara moja moja soma tu
 
Attachments

Kabla ya kudownloa IDM ikaniletea jina la file nikaghairi maana nilishaacha kusoma mambo ya namna hii
hahahahahahaha unataka vya aina gani kiongozi? huwa nadownload watu wakihitaji nawauzia mara nyingi nafuta,kipya cha obama ushakisoma kinaitwa promised land?
 
hahahahahahaha unataka vya aina gani kiongozi? huwa nadownload watu wakihitaji nawauzia mara nyingi nafuta,kipya cha obama ushakisoma kinaitwa promised land?
Dah sijasoma aisee kiongozi nimekuwa mvivu wa kusoma siku hizi, natazama sana documentary na channel za Youtube, na mara moja moja nasoma vitabu vya fiction stories tu. Vitabu vya Inspiration na Ujasiriamali sisomi kabisa.

Yani nimekuwa mvivu wa kusoma vitabu, ila naweza tumia muda kusoma mambo mengine ambayo hayana maana. Mfano unaweza kunikuta napoteza muda kusoma Incan Empire, ukanikuta nasoma mysery za the pyramids of Giza yani ndivyo vitu ambavyo nakuwa interested kusoma zaidi siku hizi.
 
Back
Top Bottom